Waitara: Watanzania wanataka Katiba Mpya, na nguvu ya dola kupunguzwa

Waitara: Watanzania wanataka Katiba Mpya, na nguvu ya dola kupunguzwa

Upunguze nguvu ya dola Ili iweje?.. upunguze kiasi gani?
Kupunguza nguvu ya dola inalenga kupunguza madaraka ya Rais. Kwamba Rais asiwe ndiye anaamua kila kitu. Mambo mengine yawe yanaamuliwa na watu wengine au yanaamuliwa kwa kufanya mchakato fulani, mfano baadhi ya teuzi anazofanya Rais watu wapatikane kwa kufanya interviews. Na mengine mengi anayofanya Rais yafanywe na taasisi zingine
 
Hata Jaji Mkuu hapa Nchini anateuliwa na Rais na hana cha kumuamrisha Rais🤣

Wabunge na Mawaziri ndio kabisaa
 
Ngoja niwaambie tu Watanganyika wenzangu CCm wameshaanza mchakato wa katiba mpya....na Katiba inayoandaliwa na ccm kitaba yao na ni katiba inayowajali wao tu Wala haitakuwa katiba ya Wananchi, katiba inayoandaliwa Wala haitatokana na rasimu yoyote Ile iwe Ile ya warioba au rasimu kutoka ktk kikundi au time yoyote,Kwa ufupi Jamaa wamejipanga kuja na Katiba yao wenyewe ambayo Wala haitafuata matakwa ya Wananchi bali itakuwa ikilinda zaidi maslai yao.... watanganyika hamkeni.
 
Back
Top Bottom