Kupunguza nguvu ya dola inalenga kupunguza madaraka ya Rais. Kwamba Rais asiwe ndiye anaamua kila kitu. Mambo mengine yawe yanaamuliwa na watu wengine au yanaamuliwa kwa kufanya mchakato fulani, mfano baadhi ya teuzi anazofanya Rais watu wapatikane kwa kufanya interviews. Na mengine mengi anayofanya Rais yafanywe na taasisi zingineUpunguze nguvu ya dola Ili iweje?.. upunguze kiasi gani?
Watu wote wanaojielewa ndio tunachotaka, wewe hutaki?Upunguze nguvu ya dola Ili iweje?.. upunguze kiasi gani?
Huyu atakuwa ndio mfumo wenyewe mbovu!Watu wote wanaojielewa ndio tunachotaka, wewe hutaki?
Mfumo upi wakati ni mbunge? Huyo ana element za upinzani miaka mingi. Kuna hali ya kusifia Sifia haipendi na anaona kama ana banwa banwaMwita anaongea hivyo kwasababu yupo mbali na mfumo.
Mnapopigania Katiba Mpya mkumbuke pia kupambania mchakato wa kuipata!KATIBA MPYA ndo habari ya mjini kwasasa.
Kwa sasa wabunge wengi si sehemu ya mfumo... Ndo maana wengine wanajipendekeza kupitilizaMfumo upi wakati ni mbunge? Huyo ana element za upinzani miaka mingi. Kuna hali ya kusifia Sifia haipendi na anaona kama ana banwa banwa
watatuangusha.Mnapopigania Katiba Mpya mkumbuke pia kupambania mchakato wa kuipata!
Katiba ni ya wananchi... Wabunge waliopo sa hivi wasiwe sehemu ya huo mchakato!
Mtoa mada alisema Mh Waitara anasema hayo kwa kuwa yupo mbali na mfumo,(mnufaika) ,ndiyo maana nikamjibu kwa Waitara ni mbungeKwa sasa wabunge wengi si sehemu ya mfumo... Ndo maana wengine wanajipendekeza kupitiliza
Lazima kuna kitu kipo nyuma ya pazia. CCM huwa hawana akili namna hii wanpokuwa ''safe'' kwenye ulaji. Kuna kitu amenusa, anaanza kujihami.akili zinaanza kuwarudia mdogo mdogo wakati mwingine
huwezi kuwa mpinzani halafu mfumo ukupe wadhifa wa kuwa waziri wa mambo ya ndani....Mfumo upi wakati ni mbunge? Huyo ana element za upinzani miaka mingi. Kuna hali ya kusifia Sifia haipendi na anaona kama ana banwa banwa
Umeshiba magimbi! Huelewi chochote.Upunguze nguvu ya dola Ili iweje?.. upunguze kiasi gani?
🤔Lazima kuna kitu kipo nyuma ya pazia. CCM huwa hawana akili namna hii wanpokuwa ''safe'' kwenye ulaji. Kuna kitu amenusa, anaanza kujihami.
Hata Jaji Mkuu hapa Nchini anateuliwa na Rais na hana cha kumuamrisha Rais🤣Kupunguza nguvu ya dola inalenga kupunguza madaraka ya Rais. Kwamba Rais asiwe ndiye anaamua kila kitu. Mambo mengine yawe yanaamuliwa na watu wengine au yanaamuliwa kwa kufanya mchakato fulani, mfano baadhi ya teuzi anazofanya Rais watu wapatikane kwa kufanya interviews. Na mengine mengi anayofanya Rais yafanywe na taasisi zingine
Hujui kuwa mamlaka ya rais ni makubwa na hashitakiwi kirahisi?.Upunguze nguvu ya dola Ili iweje?.. upunguze kiasi gani?