Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Wananchi wanahitaji Haki ya Kumng'oa Mwakilishi (Right to Recall): Mbunge au diwani akishindwa kuwajibika au kukiuka maadili, wananchi wawe na uwezo wa kisheria kumng'oa kabla ya miaka 5 kuisha.Wananchi hushiriki maamuzi ya serikali kupitia wawakilishi i.e madiwani,wabunge,rais,wewe unataka wananchi 70m+ washiriki vipi maamuzi?
Nilianza na neno ufanisi,hayo matatizo mengine yanayosababishwa na katiba ni yapi?
Heche anaongea facts not vitu vipoTume huru ya uchaguzi ni kwa ajili ya wanasiasa,mimi hainihusu
Maandamano mbona mnafanya na kusindikizwa juu,kuongea Heche anaongea togwa zake kila siku
Leo umeanika jinsi ulivyokuwa mtupu huko kichwani, acha wanaoelewa wapiganie mabadiliko hata wewe utafaidika and your generation to come piaTume huru ya uchaguzi ni kwa ajili ya wanasiasa,mimi hainihusu
Maandamano mbona mnafanya na kusindikizwa juu,kuongea Heche anaongea togwa zake kila siku
Sishangai,mkishindwa hoja hukimbilia kuwatoa wenzenu,umeshindwa kueleza umuhimu wa katiba mpya,unafuata mkumbo tuLeo umeanika jinsi ulivyokuwa mtupu huko kichwani, acha wanaoelewa wapiganie mabadiliko hata wewe utafaidika and your generation to come pia
Bunge linaweza mng'oa rais kwa kura ya kutokua na imaniHeche anaongea facts not vitu vipo
Nikuuliza sahiz unajua kuna changamoto ya ukosefu wa utengano wa madaraka (Separation of Powers): Rais ana nguvu kubwa kupita kiasi—anateua majaji, wakuu wa vyombo vya ulinzi, na tume ya uchaguzi. Hii inafanya mihimili ya Mahakama na Bunge kukosa meno ya kumwajibisha Mhimili wa Dola.
Hii si kweli,jielimisheUnajua Kinga ya Kisheria (Impunity): Viongozi wakuu kulindwa na katiba dhidi ya kushtakiwa hata wanapovunja sheria au kutumia vibaya madaraka yao.
Hizi ni loophole zinazowapa vipngozo wafanye lolote na jamna kuwajibika kokote
Hatuwezi miaka hii 21st centruy kuwa na katiba ya ajab kiasi hiko
Hapo mtakua na nchi au zizi la mbuzi!?Wananchi wanahitaji Haki ya Kumng'oa Mwakilishi (Right to Recall): Mbunge au diwani akishindwa kuwajibika au kukiuka maadili, wananchi wawe na uwezo wa kisheria kumng'oa kabla ya miaka 5 kuisha.
Kura za Maoni (Referendum): Maamuzi makubwa ya kitaifa (kama mabadiliko ya katiba au kuuza/kupangisha rasilimali kuu za nchi) yapigiwe kura na wananchi moja kwa moja.
Tume Huru ya Uchaguzi: Wananchi hakusema wanamchagua mwakilishi wao ikiwa chombo kinachoendesha uchaguzi kinateuliwa na kinamuwajibikia Rais ambaye pia ni mwenyekiti wa chama tawala.
Ushirikishwaji wa Dhati wa Umma (Public Participation): Bajeti na mipango ya maendeleo ianzie ngazi ya mtaa/kijiji na iwe na nguvu ya kisheria badala ya maamuzi kutoka juu kwenda chini.
Hayo yapo kwenye katiba hii sidhani?
Unaona sawa mtu mmoja kwa sababu ni Raisi awe na uwezo wa kufunga internet nchi nzima? vipi polisi kuwanyima haki watu ya kuandamana au mkutano wa kisiasa kwa sababu ambayo haiko wazi au visingizio vya usalama bila msingi wowote?Sishangai,mkishindwa hoja hukimbilia kuwatoa wenzenu,umeshindwa kueleza umuhimu wa katiba mpya,unafuata mkumbo tu
Huoni kumtoa mtu asiyewajibika kisheria au kwa utaratibu unaoeleweka ni kitu kizuri?🤔 nchi zilizoendelea Zina huo utaratibu ndio maana uwajibikaji uko juuHapo mtakua na nchi au zizi la mbuzi!?
Sasa huyo hayupo kwenye watu wanaojielewa.Watu wote wanaojielewa ndio tunachotaka, wewe hutaki?
Kuna uchaguzi kila baada ya miaka mitano,ni nafasi ya kumtoa,waune zenu marekani trump kaanzisha vita Haram,hawamtoi,wanasubiri muda wake uishe,nguvu ya wananchi ni kuraHuoni kumtoa mtu asiyewajibika kisheria au kwa utaratibu unaoeleweka ni kitu kizuri?🤔 nchi zilizoendelea Zina huo utaratibu ndio maana uwajibikaji uko juu
Rais ndiye alifunga internet, katika Hali kama Ile kiusalama unatakiwa uache njia za mawasiliano ya haraka wazi?Unaona sawa mtu mmoja kwa sababu ni Raisi awe na uwezo wa kufunga internet nchi nzima? vipi polisi kuwanyima haki watu ya kuandamana au mkutano wa kisiasa kwa sababu ambayo haiko wazi au visingizio vya usalama bila msingi wowote?
Walifunga internet wakati wa uchaguzi, ni hali ya hatari? acha kujitoa akiliRais ndiye alifunga internet, katika Hali kama Ile kiusalama unatakiwa uache njia za mawasiliano ya haraka wazi?
Maandamano ya amani mbona mliachiwa na ulinzi mkapewa!?..nchi lazima iwe na utaratibu, hakuna uhuru kwa manyani
Kwamba hapakua na Hali ya hatari!?..sijui kwa nini najadiliana na wewe kwanza, maana inaonekana umeme hautoshi kichwaniWalifunga internet wakati wa uchaguzi, ni hali ya hatari? acha kujitoa akili
Ukiwa huna akili na mapengo kama wewe ni kawaida kufikiria wengine hawana akiliKwamba hapakua na Hali ya hatari!?..sijui kwa nini najadiliana na wewe kwanza, maana inaonekana umeme hautoshi kichwani
Mbunge Mwita Waitara amesema suala la Katiba Mpya ni jambo muhimu kwa Tanzania, akieleza kuwa kuna mambo matatu ambayo wananchi wanayataka, likiwamo kuwepo kwa Tume Huru ya Uchaguzi ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki kwa vyama vyote bila kujali upande wa kisiasa.
Waitara amesema Watanzania wanataka uchaguzi ambao kila mshiriki atatendewa haki, akisisitiza kuwa tofauti za kisiasa hazipaswi kuwafanya Watanzania kuonekana kama maadui. “Hata hao wapinzani ni Watanzania na walioko chama tawala ni Watanzania. Tukisigana mawazo kwa hoja na arguments, ndio maendeleo,” amesema.
Amesema jambo la pili ni kupunguza nguvu za dola na kuweka mfumo wa uongozi shirikishi, huku akitaka viongozi wateuliwe kwa kuzingatia sifa zilizoainishwa badala ya upendeleo. “Kuna mambo yanafanyika na mtu mmoja tu nchi nzima. Watu wanataka kuwe na uongozi shirikishi; mtu akipata nafasi tuone ana sifa zilizoainishwa na sio tu amependelewa,” amesema.
Kuhusu Katiba Mpya, Waitara amesema suala hilo si la mtu binafsi bali ni hitaji la Watanzania wengi, hivyo ameitaka Serikali kulifanyia kazi. “Tumesikia Rais ana ahadi yake, lakini tunamsihi jambo hili lifanyike kwa sababu hatuwezi kwenda kwenye uchaguzi kabla ya Katiba Mpya,” amesema
Tanganyika anauza, kwao anajenga. Ila wajinga ndiyo waliwao..Saa100 ni mwizi aliyekubuhu