Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Waiting is over .Tunatarajia kuona ngumi kali kati ya Gervonta Davis vs Ryan Garcia.
Kila mmoja hapo ana silaha zake muhimu kwa ajili ya kummaliza mpinzani wake.
Gervonta ana ngumi nzito ,ni counter puncher mmoja hatari sana pia ana speed ila sio sana kumzidi Garcia.
Garcia ana speed ,ni mrefu kuliko Tank ila hana ngumi nzito kama Gervonta .
So ni Powerful Punches vs Speed
Wote wana boxing IQ kubwa.
Karata yangu naiweka kwa Gervonta Davis .
Kila la heri Gervonta(Tank) .
Styles makes fight #Enjoy The Sweet Science of boxing#.