Waiting is over, Gervonta Davis vs Ryan Garcia

Waiting is over, Gervonta Davis vs Ryan Garcia

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Waiting is over .Tunatarajia kuona ngumi kali kati ya Gervonta Davis vs Ryan Garcia.

Kila mmoja hapo ana silaha zake muhimu kwa ajili ya kummaliza mpinzani wake.

Gervonta ana ngumi nzito ,ni counter puncher mmoja hatari sana pia ana speed ila sio sana kumzidi Garcia.

Garcia ana speed ,ni mrefu kuliko Tank ila hana ngumi nzito kama Gervonta .

So ni Powerful Punches vs Speed

Wote wana boxing IQ kubwa.

Karata yangu naiweka kwa Gervonta Davis .

Kila la heri Gervonta(Tank) .

Styles makes fight #Enjoy The Sweet Science of boxing#.
 
Screenshot_20230421-154327_1.jpg
 
Hii mechi kali sana, but i guess Gervonta Davis => Tank atashinda, sbb angalia mechi nyingi kali sana Tank kawapiga kwa TO, akina Rolly Romero etc.. Tank ni mkali sana aisee..

Boxing fun wote wanasema Ryan Garcia fought no body who really knows boxing, but Tank many times outclassed and surprised the world with KO to many unbeaten, undisputed boxers.. Tank is really tank..!! Ngoja tuone, i bet Tank will win..!!
 
S
Huu mwaka mtamu sana, ukiacha hii tutashuhudia ,devin haney na rimachenko mwezi ujao,tukitoka hapo kuna spence na crawford, mwaka huu wameamua kutupa burudani.

Game ya leo tank anashinda.

Crawford vs Spence kwani ni official, sijasikia, let me check..

Sbb for years, nasikia tu Crawford vs Spence but haitokei.. Ila Crawford ni mtu mwingine kabisa, the best of the best top pound for pound boxer ever..
 
Huu mwaka mtamu sana, ukiacha hii tutashuhudia ,devin haney na rimachenko mwezi ujao,tukitoka hapo kuna spence na crawford, mwaka huu wameamua kutupa burudani.

Game ya leo tank anashinda.
Devin Haney na Lomachenko tunaisubiri kwa hamu.

Spence na Crawford sidhani kama itafanyika, Crawford ni muoga sana sawa na Tyson Fury dhidi ya Usyk.
 
S

Crawford vs Spence kwani ni official, sijasikia, let me check..

Sbb for years, nasikia tu Crawford vs Spence but haitokei.. Ila Crawford ni mtu mwingine kabisa, the best of the best top pound for pound boxer ever..
Crawford cho.k.o tu kwa Spence .

Kama yeye mwanaume kweli mbona anaogopa kuunganisha mikanda tumpate undisputed champion?

Na ukicheki ana mkanda mmoja tu wakati mwenzake anayo mitatu.
 
Vip superspot wanaonesha station namba ipi na saa ngap
Dstv Action 210, mapambano ya utangulizi yataanza saa 10 alfajiri.

Main event inatarajiwa kuanza kati ya saa 12:30 mpk 1:30 asbh.
 
Hili pambano linafananishwa na lile la Fury Vs Wilder maana wote hawajawahi kupoteza.

Ingawa natamani Davis ashinde ila karata yangu naipeleka kwa Garcia kutokana na mbinu zake za ziada.

Tutarajie kudondoshwa (knock downs) za mara kadhaa kwa pande zote kabla ya Davis kupigwa TKO raundi za mwisho.
 
Back
Top Bottom