Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
- #21
Mbona mawazo yanapingana hapo juu....amekutupia virago, anatesa na wengine....lakini bado anakuwaza na kukupigia ganzi?
Huko ni kutafuta ugonjwa wa moyo bure bilashi. Au ule msemo wa "mwenye mapenzi haoni ingawa macho anayo" unafanyakazi yake kwako?
Ushauri, kwanza kamuone daktari wa macho kabla hujachukua hatua yoyote nyengine.
Hakuna migongano ni kuwa hakusikiliza moyo wake ila alikuwa mwathirika wa peer pressure tu.........KWA HIYO HUENDA ANANIWAZAWAZA LAKINI WAPAMBE ANAWAKHOFU..[MENTION]@MAMMAMIA[/MENTION]