wajamani huyu mama sasa habanduki mawazoni kwangu............


Hakuna migongano ni kuwa hakusikiliza moyo wake ila alikuwa mwathirika wa peer pressure tu.........KWA HIYO HUENDA ANANIWAZAWAZA LAKINI WAPAMBE ANAWAKHOFU..[MENTION]@MAMMAMIA[/MENTION]
 
labda ni Mr Rocky nini ambaye unamuwazawaza naye anakuwazawaza? Smile, [MENTION=10703]Mr Rocky

Ruta hebu mwambie afunguke aise
Mkuu moyo unakpoumia na mwili nao unakuwa dhaifu
Ni bora kupata kile kiumizacho moyo kuliko kuzidi kuumia
Hata kama kiko ndani ya miiba na michongoma jitahidi tuu uchomwe nayo ili kupata kile utakacho
maumivu ya moyo kuumia hayavumiliki
 
Last edited by a moderator:

labda kwa vile alinitema labda ndiyo maana namwona wa maana......................pengine angelinikubali nami one day ningelimtupia virago vyake.......life is complex...........................maybe it is better the way life has turned out for both of us...........
 
Hebu funguka ias e
Mtaje bana kwa nini unaogopa kumtaja

Mr ROcky kwani hadi leo hujui yakuwa smile anakumezea mate mno..............ila anakhofu kukuambia usije ukamkataa...........[MENTION]Smile, Mr Rocky[/MENTION]
 
Last edited by a moderator:
Ukisikia ukubwa dawa ndio hivyooo! ungeanza na visamaki vidogo vidogo, wewe umekimbilia PAPA mwenzangu,ndio mana unapenda sana nyimbo za ma LOVE kumbeeeeeeeeeee sana nimekupata Ruta. LOL

I am in pain.........................bila ya yule mama nimekwisha kabisa............
 

It might be better but sometime u have to listen kile ambacho moyo wako wakuambia
May be kuna vitu aliviona akashindwa kuvumilia
May be aliona bado uko macho juu
May be hakuweza kuvumilia namna ulivyokuwa unawaangalia mashoga zake
May be hakuweza kuvumilia kuchelewa kwako kutoa maamuzi
May be aliona huna mpango wa kuwa nae permanent haraka
May be aliona mapenzu kwake hujayapa kipaumbele
May be nyingi tuu Ruta
 
:confused2::confused2::confused2:

smile jaribu Kum-PM The Finest.......................u never know what is in store for you unless you try..............[MENTION]@he Finest, Smile[/MENTION]
 
Last edited by a moderator:


Mkuu Ruta hiyo ulioandika ni shairi au kitugani?
 
haitosaidia bro ....

Itasaidia sana
Maan may be utakuw aumemweka na yeye sehem ya kujifikiria
Na wewe utakuwa umetoa kile kilicho moyoni mwako
Kuwa wazi inasaidia sana
May be hajui hata yeye kuwa umemzimia
 
pole sana Ruta funguka tu utoe hilo jaka la moyo ulilobeba.

chauro naona mnafurahisa mkiwa na sauti kubwa juu yetu lengo ni kututawala...............na ndiyo maana kuna wakati unaona kidosho unampenda sana lakini ukiona mwelekeo wake ni kukuthibiti unaamua acha aende zake na ubaki na maumivu kheri ulie kulikoni akutawale baada ya kujua kuwa kumbe roho yako yadundia kwake...........[MENTION]@chauro[/MENTION]
  • :disapointed:
............LOL
 
Mkuu Ruta hiyo ulioandika ni shairi au kitugani?

mohammed Shossi..........chungulia ujumbe mengineyo mwachie ngoswe.................[MENTION]@mohammed shossi[/MENTION]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…