Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mgeni-mwenyeji hapa. Nilijiunga mapema kidogo nikashindwa kubisha hodi kwa sababu ya mtandao hafifu.
Natumaini tutashirikiana kudumisha uhuru wa mawazo nchini mwetu
Ahsanteni
hahahahahahaha!
mbavu zangu mimi...
asprin twende zetu tukapige pakiti bana
tatizo we unajificha sana,au we ni invizibo?....Mkuu Teamo,
Mbona siku hizi pale MADRID-Tegeta unapita kimya kimya?
Nimeandika uhru wa mawazo kwa kuwa kinachosemwa au kuandikwa ni tafsiri ya mawazo.
Siwezi kusema ni ubatizo kwa moto lakini inaashiria hivyo.
Ahsanteni
unatisha muzee!....Nimeandika uhru wa mawazo kwa kuwa kinachosemwa au kuandikwa ni tafsiri ya mawazo.
Siwezi kusema ni ubatizo kwa moto lakini inaashiria hivyo.
Ahsanteni
Ni jamaa mmoja anaitwa Malaria Sugu, jamaa wengi hawapendi mijadala yake isiyoeleweka. sijui kapotelea wapi! Labda ndio maana wanamshuku kila mgeni anayeingia hapa kwa kuhofia MS karudi kwa ID nyingine!Ahsanteni wote.
Lakini naomba nieleweshwe, huyu MS ni nani au alikuwa nani kwenye jamvi hili?
Ni jamaa mmoja anaitwa Malaria Sugu, jamaa wengi hawapendi mijadala yake isiyoeleweka. sijui kapotelea wapi! Labda ndio maana wanamshuku kila mgeni anayeingia hapa kwa kuhofia MS karudi kwa ID nyingine!
Du bora ndio maana kuna utulivu namna hii, hasa kule kwenye siasa! Bora angepewa ban ya milele!amepewa ban ya mwezi....