Wajameni, hodi hodi naja

Wajameni, hodi hodi naja

MWEEN

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2010
Posts
482
Reaction score
207
Mimi ni mgeni-mwenyeji hapa. Nilijiunga mapema kidogo nikashindwa kubisha hodi kwa sababu ya mtandao hafifu.

Natumaini tutashirikiana kudumisha uhuru wa mawazo nchini mwetu

Ahsanteni
 
Uhuru wa Mawazo ndiyo nini?
 
hahahahahahaha!
mbavu zangu mimi...

asprin twende zetu tukapige pakiti bana
 
Mkuu Teamo,

Mbona siku hizi pale MADRID-Tegeta unapita kimya kimya?
tatizo we unajificha sana,au we ni invizibo?....
leo nitaanzia USERI,then ZANZIBAR,then FAIRWAY nikacheze mziki kidogo
 
Nimeandika uhru wa mawazo kwa kuwa kinachosemwa au kuandikwa ni tafsiri ya mawazo.

Siwezi kusema ni ubatizo kwa moto lakini inaashiria hivyo.

Karibu sana!
 
unatisha muzee!....
una element zote za UGAIDI
 
i can see the equilibrium of jf members are total distabed by Ms, kila mgeni mnamshuku, kazi ipo!.
Karibu mwaya
 
Ahsanteni wote.

Lakini naomba nieleweshwe, huyu MS ni nani au alikuwa nani kwenye jamvi hili?
 
Ni jamaa mmoja anaitwa Malaria Sugu, jamaa wengi hawapendi mijadala yake isiyoeleweka. sijui kapotelea wapi! Labda ndio maana wanamshuku kila mgeni anayeingia hapa kwa kuhofia MS karudi kwa ID nyingine!
 
amepewa ban ya mwezi....
 
Ni jamaa mmoja anaitwa Malaria Sugu, jamaa wengi hawapendi mijadala yake isiyoeleweka. sijui kapotelea wapi! Labda ndio maana wanamshuku kila mgeni anayeingia hapa kwa kuhofia MS karudi kwa ID nyingine!

Ahsante sana mkuu. Natumaini tuna taratibu za kudhibiti michango ya mawazo inayopingana na maadili ya Wa-Tanzania.
 
Back
Top Bottom