Kuna kiongozi alisema tukimkuna atatupapasa!! nilitaka nimkumbushe tu kwamba na sisi wananchi tunahitaji kupapaswa na viongozi wetu Ili na sisi tuwakune !! Naona ikitokea teuzi mnapapasana wenyewe ! Ila likija swala la maendeleo ,Kodi na tozo mnataka tuwakune!! Iiii Bha ghosha!