Wajameni!! Tatizo la Stars ni Kocha pamoja na Mapro!!

Success is state of mind. Je tumejenga taifa la vijana wanajiamini au wa kusalimu bila shuruti?
 
Yondani, Kapombe na Nyoni. Hawa walipaswa kuwa mabeki. Mkude awe midfielder. Sasa huyu Amunike kudadeki zake.
 
Game plan imegoma kabisa team imepoteana mapema tulipopigwa goli la kwanza. ukiangalia kiungo hakuna ubunifu kabisa.
Kocha aliidharau Cape Verde na kuamua kucheza mchezo wa kufunguka, mechi za away unatakiwa kubana na kukaba tu ili usifungwe.

Vv
 
Kocha si tatizo.. tatizo ni wachezaji... Mechi ya leo beki zimepwaya, viungo ndio kabisa, yaani hakuna kabisa...
Wachezaji hawana morali ya upambanaji wa kizalendo na timu yao...

Yaani beki na viungo wamezingua kinyama... Nadhani si kwamba hawana uwezo wa kucheza na kufanya makubwa...
 
Acha upuuzi, Samata unamwachaje ukiwa kama kocha? Tatizo watz mnachojua ni mdomo tu ....mmeshazoea mpira wa magazeti tu
World Cup 2018 Argetina aliachwa Mauro Icardi top scorer Serie A, Germany aliachwa Leroy Sane sembuse Samata..Acha kukariri wewe Bashite...
 
mkuu hata mimi nimeona hilo mkuu beki na kiungo wote chali ukiangalia unaona mipira kufika kwa washambuliaji inakuwa ngumu na wamepoteza mipira mingi sana iliyoleta madhara kwetu.
 
Yaani kuna muda inawalazimu akina samata kuanzia nyuma ili kutafuta mipira maana mbele haiendi...
Sasa kwa style hiyo huwezi shambulia na kuleta madhara upande wa timu mpinzani kwasababu unawatengenezea mazingira mazuri ya defence...

Ngoja tuone hiyo jumanne...
mkuu hata mimi nimeona hilo mkuu beki na kiungo wote chali ukiangalia unaona mipira kufika kwa washambuliaji inakuwa ngumu na wamepoteza mipira mingi sana iliyoleta madhara kwetu.
 
Hivi Manula ni bora kuliko Beno???huyu Himid Mao itakuwa kapata ankal huko Egypty mtu anapiga kichwa kajilegezaaaa
 
Nilikua Naangalia Hii Mechi Na Washikaj Mahali Flan, Nikawaambia Huyu Kocha Kuchagua Tuu Wachezaji Kashindwa!! Ni Tatizo Hilo.
 
Nadhani tuendelee kuwatumia tu local players hawa mapro wanaogopa kuumia na kukosa namba,Manula,Kapombe, Gadiel,Nyoni,Yondani,Mkude,Msuva,Ajibu,Chilunda,Boko,Sammatta
 
World Cup 2018 Argetina aliachwa Mauro Icardi top scorer Serie A, Germany aliachwa Leroy Sane sembuse Samata..Acha kukariri wewe Bashite...
achana naye....ushamba mzigo
 
Cape verde wametuzidi vingi tu kushinda kwao ni halali, soka la bongo ni lakindezi tu mpaka leo ligi kuu haijulikani watu wanashindania nini ?? kuna timu mbili zinaweza kuamua zisicheze na timu nyingine ili zipate mda wa kujiandaa pindi zinapokutana.Mpira ni nidhamu sio haya maigizo yetu hapa bongo afu utegemee kuifunga cape verde . Hata hao waliokuepo benchi ni walewale tu hakuna kipya
 
Acha kakalili wewe wanamaajabu gani hao zaid ya walio itwa ndo maana wabunge wenu wanajiudhuru kwa kukosa kujiamin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…