simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Success is state of mind. Je tumejenga taifa la vijana wanajiamini au wa kusalimu bila shuruti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kocha aliidharau Cape Verde na kuamua kucheza mchezo wa kufunguka, mechi za away unatakiwa kubana na kukaba tu ili usifungwe.Game plan imegoma kabisa team imepoteana mapema tulipopigwa goli la kwanza. ukiangalia kiungo hakuna ubunifu kabisa.
kosa kubwa sana wanasema kama huwezi kufunga basi usifungwe.Kocha aliidharau Cape Verde na kuamua kucheza mchezo wa kufunguka, mechi za away unatakiwa kubana na kukaba tu ili usifungwe.
Vv
World Cup 2018 Argetina aliachwa Mauro Icardi top scorer Serie A, Germany aliachwa Leroy Sane sembuse Samata..Acha kukariri wewe Bashite...Acha upuuzi, Samata unamwachaje ukiwa kama kocha? Tatizo watz mnachojua ni mdomo tu ....mmeshazoea mpira wa magazeti tu
mkuu hata mimi nimeona hilo mkuu beki na kiungo wote chali ukiangalia unaona mipira kufika kwa washambuliaji inakuwa ngumu na wamepoteza mipira mingi sana iliyoleta madhara kwetu.Kocha si tatizo.. tatizo ni wachezaji... Mechi ya leo beki zimepwaya, viungo ndio kabisa, yaani hakuna kabisa...
Wachezaji hawana morali ya upambanaji wa kizalendo na timu yao...
Yaani beki na viungo wamezingua kinyama... Nadhani si kwamba hawana uwezo wa kucheza na kufanya makubwa...
mkuu hata mimi nimeona hilo mkuu beki na kiungo wote chali ukiangalia unaona mipira kufika kwa washambuliaji inakuwa ngumu na wamepoteza mipira mingi sana iliyoleta madhara kwetu.
Watekajii kama kweli wapoi ebhu wamnyakue airpot ikiwezekana ata kabla hajatokaa nje
Kaitwa ila walichelewa kufika cape Verde cos of usafiriHivi Iddi Chilunda kaitwa?
Nilikua Naangalia Hii Mechi Na Washikaj Mahali Flan, Nikawaambia Huyu Kocha Kuchagua Tuu Wachezaji Kashindwa!! Ni Tatizo Hilo.Napata mfadhaiko mkubwa pale timu yetu ya taifa inapofungwa tena kiboya kabisa....kwa ugunduzi wangu mwembamba, nimegundua kuwa Tatizo la Timu yetu ya taifa kufanya vibaya ni huyu Kocha (Amunike).
Katika ya mechi hii na Carbo Verdè, nilitegemea mabadiliko na usahihishaji wa makosa yaliyojitokeza kwenye mechi yetu na Uganda but kocha ameamua kuwa mbishi na misimamo yake inayogharimu future ya timu yetu
*Thomas Ulimwengu? Wa kazi gani?
*Mbwana Samatta? Huyo mfanyakazi wa Genk?
*David Mwantika? Real?
Kiukweli Hawa Mapro wameshakuwa mzigo kwa timu yetu...wanachojua kwa sasa nikujipiga selfie na kupost ista tu!!!
Naangalia mpira hapa hamu imepungua, Inatia kinyaa.....Kichuya, Yondani, Mkude, Ajibu,Kapombe (Unawaachaje hao halafu utarajie miujiza?)