Louis II
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 3,030
- 4,647
Napata mfadhaiko mkubwa pale timu yetu ya taifa inapofungwa tena kiboya kabisa....kwa ugunduzi wangu mwembamba, nimegundua kuwa Tatizo la Timu yetu ya taifa kufanya vibaya ni huyu Kocha (Amunike).
Katika ya mechi hii na Carbo Verdè, nilitegemea mabadiliko na usahihishaji wa makosa yaliyojitokeza kwenye mechi yetu na Uganda but kocha ameamua kuwa mbishi na misimamo yake inayogharimu future ya timu yetu
*Thomas Ulimwengu? Wa kazi gani?
*David Mwantika? Real?
Kiukweli Hawa Mapro wameshakuwa mzigo kwa timu yetu...wanachojua kwa sasa nikujipiga selfie na kupost ista tu!!!
Naangalia mpira hapa hamu imepungua, Inatia kinyaa.....Kichuya, Yondani, Mkude, Ajibu,Kapombe (Unawaachaje hao halafu utarajie miujiza?)
UPDATE
Kufungwa na Lesotho kumedhihirisha nilichokisema hapo juu.....kifupi kocha hatuna zaidi ya ubabaishaji tu.