Hao wanakuwa na mbadala wa kutosha nduguWorld Cup 2018 Argetina aliachwa Mauro Icardi top scorer Serie A, Germany aliachwa Leroy Sane sembuse Samata..Acha kukariri wewe Bashite...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wanakuwa na mbadala wa kutosha nduguWorld Cup 2018 Argetina aliachwa Mauro Icardi top scorer Serie A, Germany aliachwa Leroy Sane sembuse Samata..Acha kukariri wewe Bashite...
Sawa, alitolewa Mauro, akawekwa Messi, Aguero, Paulo Dyabala, walifika wapi Argetina na mpira gani walicheza? Ok, Akatolewa Sane akawekwa Muller na reus alicheza mpira gani Germany na aliishia wapi?Tumemuweka Sammata tumecheza nini na tumefika wapi? Tujitafakari tunakwama wapi.. Samata hataki kuumia kwa viposho vyetu halafu akasugue bench Genk..