LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
Hizi dhuluma zipo hata kwa watu wenye kipato cha chini. Unakuta jamaa alioa mke huku anao watoto kwa mke wa kwanza. Baba akifariki tu watoto na ndugu wa mume wanainuka na kuwa kinyume na mke wa baba yao kuhusu mgawo wa mali na umiliki. Wengine huthubutu kumfukuza kabisa mke wa ndugu yao ili asitambuliwe katika kupata mgao wa mirathi.
Mara hakuwa na ndoa, mara hakutulia kwenye ndoa yake na dhuluma zingine nyingi. Mbaya zaidi marehemu afe aache watoto wadogo mke wake hakuna rangi ataacha kuona kutoka kwa ndugu wa mume wake hata kama walifunga ndoa halali. Kuna mama mmoja mume wake alipofariki aliuza nyuma chapchap akasepa bila ndugu wa mume wake kujua.
Alinunua nyumba nyingine aishi na watoto wake. Ndugu waliambulia manyoya tu nyumba ilishauzwa siku nyingi na mali za kuhamishika alihamisha fasta. Ndio maana ndoa za siku wanawake wana mpango wa pembeni bila waume zao kujua.
Ikitokea mume kafa mwanamke hana wasiwawasi kwani tayari alishajenga kwao na ana miradi inayoendeshwa na ndugu zake bila mume kufahamu.