Wajane walindwe kwa wivu mkubwa

Wajane walindwe kwa wivu mkubwa

Kwa maoni yangu Kylin kaonewa maana mzee Mengi was very particular kwenye wosia halafu anaibuka judge bila ushahidi anasema mengi hakuwa sawa kiakili wakati anaandika wosia.... Pathetic.

As for Vicky kama kweli mume wake alikua na ndoa ya kanisani basi haki zake ni za matunzo ya watoto kama anao maana yeye ni hawara tu sio mke halali na ukizingatia marehemu "mume wake" hakuacha wosia. Awe mpole watoto wapewe haki yao.
Dada kwa viki umeheshimu mahakama nimekuheshimu.lakini kwa jack umeanza ipinga mahakama na kuhoji jaji.kwan hukui jaji aliomba ushahidi kama mengi alikuwa mwehu wakautoa jaji akajiridhisha akaamua.nakusihi heshimu MAHAKAMA.
 
Mwanamke mwenye akili hawezi kupambana achukue mali za mwanamke mwenzake aliyezichuma. Atapambana atafute za kwake na huyo anayemwita mume.

Kuna familia moja naifahamu mama na baba walikuwa na mali nyingi sana na watoto tayari walikuwa wakubwa. Mama akaja akafariki baada ya kufariki miaka ikapita yule baba akawa anahitaji kuoa. Lkn kabla hajao akakaa na watoto wake wakatafuta mwanasheria mali zote zilizochumwa wakagawana 50 kwa 50 kwa hiyo ile hamsini wakarithi watoto hamsini ikabaki kwa baba.

Baadae ndo akaja kuoa na kuanza kutafuta upya mali na yule mwanamke mpya.

Kwa hiyo familia inaendelea bila mgororo wala vita.

Wanawake tuache tamaaa. Na watu wahurumiwe pale kweli panapohitaji kuhurumiwa.


Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena kihekima sana .wanawake wafahamu ndoa sio biashara .biashara ni yambo la kutafuta faida Kisha kuidunduiza ilete utajiri.ndoa ni jambo mahsusi la kuungana kwa upendo ili mjenge familia.warithi wa mali za mwanaume ni watoto wake mwanamke ni binadamu sawa na mwanaume anatakiwa atafute zake
 
Wanawake mzingatie mnpotaka kuolewa mnaolewa na wanaume wa aina gani?Hali yake uliyomkuta hasa ndoa na watoto/familia.Na myaweke mambo yenu sawa kabla mmoja wenu/mwanaume hajafariki au kupoteza uwezo kiakili.Umakini na kuomba heri ya Maulana viwatangulie.
 
Dada kwa viki umeheshimu mahakama nimekuheshimu.lakini kwa jack umeanza ipinga mahakama na kuhoji jaji.kwan hukui jaji aliomba ushahidi kama mengi alikuwa mwehu wakautoa jaji akajiridhisha akaamua.nakusihi heshimu MAHAKAMA.

Uamuzi wa mahakama kuu sio wa mwisho. Tusubiri uamuzi wa mahakama ya rufaa. Hata hivyo naweza kukosoa uamuzi ikiwa jaji hajajielekeza vizuri Kwa mujibu wa Sheria.

Ps. Mimi sio dada
 
Uamuzi wa mahakama kuu sio wa mwisho. Tusubiri uamuzi wa mahakama ya rufaa. Hata hivyo naweza kukosoa uamuzi ikiwa jaji hajajielekeza vizuri Kwa mujibu wa Sheria.

Ps. Mimi sio dada
Kaka naomba radhi kukuita dada .nisamehe mdogo wako naja attach hapa naiomba mahali
 
Back
Top Bottom