Mkuu jitahidi kutofautisha Wajane na Slay Queens. Sheria zetu zipo vizuri sana katika kuwalinda na kutetea haki za wajane pindi Waume zao wanapofariki.Tumeshuhudia wajane wakidhalilishwa Kwa sheria zetu mbovu K- Lyn na Vicky Kamata ni wachache kati ya wengi. Ni wakati Sasa Sheria itungwe ili kuwalinda wajane baada ya Waume zao kufariki.
Suala hili halivumiliki
Wataje sly queen walau wawiliMkuu jitahidi kutofautisha Wajane na Slay Queens. Sheria zetu zipo vizuri sana katika kuwalinda na kutetea haki za wajane pindi Waume zao wanapofariki.
Ila unachokililia sasa kitapelekea Wajane wadhulumiwe haki zao na Slay Queens ndiyo wanufaike na mali za Wajane.
Nawasilisha
Hahaha we boya hiyo heading ipo kisiasa sana.... hiyo kauli huwa inatumika na wanasiasa waongo waongo.Tumeshuhudia wajane wakidhalilishwa Kwa sheria zetu mbovu K- Lyn na Vicky Kamata ni wachache kati ya wengi. Ni wakati Sasa Sheria itungwe ili kuwalinda wajane baada ya Waume zao kufariki.
Suala hili halivumiliki
Mkuu si umeshawataja kwenye uzi wako. Hizo ndoa walizofunga kitaalamu huwa tunaziita "Strategic Marriages", yaani mtu anaingia kwenye ndoa sio kwasababu ya mapenzi, but, anakuwa ana malengo ya kunufaika kiuchumi na ndoa husika.Wataje sly queen walau wawili
Ni kweli mkuu. Hawa malaya wanawawahisha sana madingi. Yaani dingi hachukui raundi lazima alambe mchanga baada ya ndoa. Ni huzuni tupu.Wale wa tafuta Hela,endeleeni ila Hawa vidume walio kata Uzi Wana different opinion huko walipo,no wonder wamewahishwa na hao hao madem.Thinks about it mtu umefanya Kila njia unapata Hela Ili ufe uzee mwema na mwanamke umpendaye,kumbe yy anataka uwahi Ili ale maisha na msela ampendae.Wanawake msituonee huruma kazeni hapo hapo.
Mwenyekiti Mstaafu TLP, IPP Media na Wizara ya FedhaNi kweli mkuu. Hawa malaya wanawawahisha sana madingi. Yaani dingi hachukui raundi lazima alambe mchanga baada ya ndoa. Ni huzuni tupu.
Dk.nimekunywa nae sana River side........Kuna kadada fulani ka Iringa Kazaa nako lakini ...........Ukimuita Vicky mjane, mke halali wa Likwelile utamuitaje?
Pre nuptial agreement haifanyi kazi kwa 100% kama ilivyodhamiriwaKuna kitu kinaitwa pre nuptial agreement ie makubaliano kabla ya ndoa wenzetu hii kitu wanazingatia sana hasa kwa wale wanaoingia kwenye ndoa ambayo mwenza alikua na ndoa nyingine au maisha yake Sasa sisi tunachukulia suala la ndoa kihisia zaidi badala ya mantiki. Wanandoa sio ndugu wakati wowote wanaweza kuachana Sasa inakua vizuri mkiweka makubaliano ya kimaandishi lolote linapotokea either kifo au talaka ktk kugawana haki na wajibu
Kwa hiyo unataka sheria zipindishwe ili warith wasovyostahili?Tumeshuhudia wajane wakidhalilishwa Kwa sheria zetu mbovu K- Lyn na Vicky Kamata ni wachache kati ya wengi. Ni wakati Sasa Sheria itungwe ili kuwalinda wajane baada ya Waume zao kufariki.
Suala hili halivumiliki
Kuna tofauti kubwa kati ya Wajane Original na Wajane Waharibifu wa Familia na Ndoa za Kwanza je, Wewe unataka tuwajadili Wajane wa aina gani kati ya haya Makundi tajwa Mawili?Tumeshuhudia wajane wakidhalilishwa Kwa sheria zetu mbovu K- Lyn na Vicky Kamata ni wachache kati ya wengi. Ni wakati Sasa Sheria itungwe ili kuwalinda wajane baada ya Waume zao kufariki.
Suala hili halivumiliki
Ndoa na waume za watu walioshi pamoja muda mrefu na kuchuma mali pamoja sio nzuri zina walakini mkubwaTumeshuhudia wajane wakidhalilishwa Kwa sheria zetu mbovu K- Lyn na Vicky Kamata ni wachache kati ya wengi. Ni wakati Sasa Sheria itungwe ili kuwalinda wajane baada ya Waume zao kufariki.
Suala hili halivumiliki
Umemsahau PiyusiMwenyekiti Mstaafu TLP, IPP Media na Wizara ya Fedha
HahahahaMkuu kwani ukilewa lazima uanzishe Uzi huku jf?
Lakini angalau inapunguza matarajio yasiyo na sababuPre nuptial agreement haifanyi kazi kwa 100% kama ilivyodhamiriwa
Kwani papuchi imeziba? Mtaji anao withinMheshimiwa Mstaafu apewe Mkoa angalau apate posho za kumsitiri