EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Hili swali kuna wakati tulilijibu pale kwenye thread inayohusu magari. Lakini kwa faida ya wengine naomba nikujibu.
- Toyota na kampuni zingine kama Nissan, Infiniti, General Motors, Daihatsu, Ford, Isuzu nk huwa wanaungana na wenzao kwenye kuongeza ufanisi hasa kwenye masuala ya maendeleo ya utafiti (R&D), kwa kuwa R&D ni ghali sana. Kwa mfumo huu wanazalisha product yenye ubora na kupunguza gharama za uendeshaji..
Kweli bhana hawa kila kitu kinaingiliana kuanzai, injini, milango, taa n.kWanabadili majina tu
Nimekupata mkuuMkuu huwa zinatofautishwa kulingana na performance,mfano Toyota Allex na Toyota Runx zina muundo mmoja na zinafanana kwa asilimia 80,lakini Toyota Allex ina engine ndogo ya cc1450 na ulaji wa mafuta ni 15.5km/ltr,Toyota Runx ina cc1750 na inakwenda na 11km/ltr.pia hata ukubwa wa body zinapishana kidogo Runx ni kubwa kidogo kuliko Allex.hivyo ukitaka gari inayokimbia kwa safari za mbali Runx inakufaa,ukitaka gari kwa ruti za mjini tu hapa hapa Allex ni chaguo sahihi.the same applies to Carina TI vs Carina SI,carina Ti ina engine ndogo kuliko Si
Sasa huoni hata maintanance inakuwa rahisi kwa mlaji? Shockup ya Corolla unaifunga kwenye makes zaidi ya 3 huoni ni raha. Side mirrors vile vile. Ama ulitaka kila gari ibebe spear yake pekee? Kwamba suspension hii ni ya Benz C200 basi ikae humo tu? kwenye E350 isiingiliane vitu. Au kwenye zile S500, S550 zisiingiliane parts wakati gari ni basically moja tu tofauti labda ni engine tu.kweli bhana hawa kila kitu kinaingiliana kuanzai, injini, milango, taa n.k
Eeh mkuu sema si tutaishi kwenye HYBRIDS kwanza kabla ya kuingia full EV!Ev zinaelekea kuteka dunia kwa sasa hizi ICE zitakazobaki nadhani heavy duty
Sikuwahi kujua tofauti za Allex na RunX ila so far nimekumanya mkuu. Allex 1490cc kwa RunX 1790cc! In other words ni 1NZ-FE kwa 1ZZ-FEmkuu huwa zinatofautishwa kulingana na performance,mfano Toyota Allex na Toyota Runx zina muundo mmoja na zinafanana kwa asilimia 80,lakini Toyota Allex ina engine ndogo ya cc1450 na ulaji wa mafuta ni 15.5km/ltr,Toyota Runx ina cc1750 na inakwenda na 11km/ltr.pia hata ukubwa wa body zinapishana kidogo Runx ni kubwa kidogo kuliko Allex.hivyo ukitaka gari inayokimbia kwa safari za mbali Runx inakufaa,ukitaka gari kwa ruti za mjini tu hapa hapa Allex ni chaguo sahihi.the same applies to Carina TI vs Carina SI,carina Ti ina engine ndogo kuliko Si
Haswaaa. Ama wanahamishia production sehemu ambayo inaleta faida kubwa, sio kwa mazoea. General motors kwa mfano, sehemu kubwa ya viwanda vya Marekani wamesogezea China kwa kuwa gharama za uendeshaji china ni almost theluthi ya zile za Marekani, kama walivyofanya Nissan.SO subsidiaries companies za Toyota zime - merge Kupunguza GARAMA
Sasa utakuta magari tofauti yanatumia injin aina moja huu si kukosa ubunifu?Hii mkuu ni biashara kama biashara nyingine tu,mwingine anauza Nyanya kwenye makopo,mwingine bila kopo,mwingine anazifunga kwenye kimfuko cha plastic,lakini ukiangalia zote ni nyanya na utakuta zinatofautiana na bei,kwahiyo nadhani ni maswala ya ubunifu tu hapo kwenye biashara kutokana na mteja anataka nini.
Hapana mkuu, sio kukosa ubunifu. Kama nilivyosema pale juu, Research and development ya injini mpya, chassis ama bodi mpya ni ghali sana. Si mbaya kutumia injini moja kwa gari zaidi ya moja, inapunguza gharama za uendeshaji.sasa utakuta magari tofauti yanatumia injin aina moja huu si kukosa ubunifu?
1NZ, 2NZ, 3S, 4S, 7A, 4E nk hizi injini unazikuta kwenye magari kibao tofautitofauti, YAANI HAWA JAMAA WANATUCHEZEA AKILI KWA KUBADILISHA MUONEKANO TU WA BODI, WANATWIST AKILI ZETU KIDOOGA WANATUPIGA ELA NDEEEFUSasa huoni hata maintanance inakuwa rahisi kwa mlaji? Shockup ya Corolla unaifunga kwenye makes zaidi ya 3 huoni ni raha. Side mirrors vile vile. Ama ulitaka kila gari ibebe spear yake pekee? Kwamba suspension hii ni ya Benz C200 basi ikae humo tu? kwenye E350 isiingiliane vitu. Au kwenye zile S500, S550 zisiingiliane parts wakati gari ni basically moja tu tofauti labda ni engine tu.
Wanatuchezea akili na kutuibia, kila toleo liwe tofauti ,a lingine maana hizi ni SUBSIDIARIES za TOYOTA zinazojiendesha kila moja kivyake kama vipi waungane watengeneze gari moja lenye jina moja tujueHapana mkuu, sio kukosa ubunifu. Kama nilivyosema pale juu, Research and development ya injini mpya, chassis ama bodi mpya ni ghali sana. Si mbaya kutumia injini moja kwa gari zaidi ya moja, inapunguza gharama za uendeshaji. Injini ya 1HDT utaikuta kwenye Coaster na kwenye Landruiser VX kama ilivyo ile ya 1HZ. Injini na ya 3S utaikuta kwenye Noah kama ilivyo kwenye Rav 4 nk. Ni kupunguza gharama tu 🤣 🤣 🤣
Hahaha sasa kama Landcruiser VX V8 ile 2017 ndio ilikuwa facelift ya kwanza ila engine ni ile ile 1KD-FTV D-4D (Turbo diesel V8) ila walichobadili ni taa tu za nyuma na mbele, grill na Fenders. Ndani wakaboresha infotainment system.1NZ, 3S,4S,7A,4E nk hizi injini unazikuta kwenye magari kibao tofautitofauti, YAANI HAWA JAMAA WANATUCHEZEA AKILI KWA KUBADILISHA MUONEKANO TU WA BODI, WANATWIST AKILI ZETU KIDOOGA WANATUPIGA ELA NDEEEFU
hawa jamaa wanatuchezea sana aiseeHahaha sasa kama Landcruiser VX V8 ile 2017 ndio ilikuwa facelift ya kwanza ila engine ni ile ile 1KD-FTV D-4D (Turbo diesel V8) ila walichobadili ni taa tu za nyuma na mbele, grill na Fenders. Ndani wakaboresha infotainment system. Ila mtu mwenye kilimo kwanza ya 2009 anaweza kwenda sawa tu na walioko 2020 akinunua Facelift Kit na Infotainment package. The same applies to Prado ya kuanzia 2010 nayo unaweza kuifanya kuwa ya 2020 ukipata facelift kit.
Toyota wanarahisisha biashara sema facelift ni tamu sana mkuu. Ile VX V8 ya 2017-2020 ni hatari. Sema kuna tetesi wanaingia ubia na subaru ili kutengeneza land cruiser mpya kabisa itaitwa LC300 yenyewe itakuja na boxer engine na itakuwa hybrid.hawa jamaa wanatuchezea sana aisee