kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,742
Vipi kuhusu kutumia trademark ya mwingine? Maana naona Mchina ni mzoefuEINSTEIN112,
Hili swali kuna wakati tulilijibu pale kwenye thread inayohusu magari. Lakini kwa faida ya wengine naomba nikujibu.
- Toyota na kampuni zingine kama Nissan, Infiniti, General Motors, Daihatsu, Ford, Isuzu nk huwa wanaungana na wenzao kwenye kuongeza ufanisi hasa kwenye masuala ya maendeleo ya utafiti (R&D), kwa kuwa R&D ni ghali sana. Kwa mfumo huu wanazalisha product yenye ubora na kupunguza gharama za uendeshaji.
- ....
Unataka ubunifu, au usafiri?Sasa utakuta magari tofauti yanatumia injin aina moja huu si kukosa ubunifu?
Hilo ni kosa kisheriaVipi kuhusu kutumia trademark ya mwingine? Maana naona Mchina ni mzoefu
Bidhaa ziwe unique bhana kama zinafanana si watengeneze brand moja tuUnataka ubunifu, au usafiri?
Wachina wanaiga tech tu wanatengeneza yaoVipi kuhusu kutumia trademark ya mwingine? Maana naona Mchina ni mzoefu
Mkuu hapo Kwenye runx umekosea kidogo ni hivi Toyota runx zipo zenye cc 1490 yenye engine code 1NZ na pia zipo zenye engine ya cc 1790....EINSTEIN112,
Mkuu huwa zinatofautishwa kulingana na performance,mfano Toyota Allex na Toyota Runx zina muundo mmoja na zinafanana kwa asilimia 80,lakini Toyota Allex ina engine ndogo ya cc1450 na ulaji wa mafuta ni 15.5km/ltr,Toyota Runx ina cc1750 na inakwenda na 11km/ltr.pia hata ukubwa wa body zinapishana kidogo Runx ni kubwa kidogo kuliko Allex.
Hivyo ukitaka gari inayokimbia kwa safari za mbali Runx inakufaa,ukitaka gari kwa ruti za mjini tu hapa hapa Allex ni chaguo sahihi.the same applies to Carina TI vs Carina SI, carina Ti ina engine ndogo kuliko Si
Sijawahi kuona gari Toyota original brand new ex- Japan, ikiuzwa kwa Tshs 8,000,000/-Wachina wanaiga tech tu wanatengeneza yao
Ndugu mjumbe,TD23 kwenye nissan datsun pickup pia kwenye nissan caravan hiace.
TD42 kwenye nissan patrol na nissan civilian.
TD27 kwenye nissan datsun pickup,kwenye nissan terrano,na kwenye nissan caravan,hommy hiaces
Ni kweli mdau.Ndugu mjumbe,
HIACE ni brand ya Toyota sio Nissan. Najua ulitaka kuandika Minibus, ukajikuta umeandika hilo neno. Tuko pamoja
Ni kweli mdau.
Asante kwa kunirekebisha.
Na hii ndiyo maana inafanya magari ya Japan kuwa reliable zaidi...1NZ, 2NZ, 3S, 4S, 7A, 4E nk hizi injini unazikuta kwenye magari kibao tofautitofauti, YAANI HAWA JAMAA WANATUCHEZEA AKILI KWA KUBADILISHA MUONEKANO TU WA BODI, WANATWIST AKILI ZETU KIDOOGA WANATUPIGA ELA NDEEEFU
Nimekusoma mdauNa hii ndiyo maana inafanya magari ya Japan kuwa reliable zaidi...
Hata mtu wa chini anaweza kumiliki gari kuukuu Japana na akawa na uhakika wa spear used za kummwaga...
Mimi binafsi sijajua jutofautisha kati Runx na Allex kwa kuangalia kwa macho mpaka nisome nembo pale nyuma.
Aisee bas runx yangu iko tofauti.......ina cc 1490 na engine ya 1nz fe......wengine wanasema tofauti ya hizo gari mbili ni rangi za dashbord na interior.Zinatofautiana injini. Ya Allex ina cc 1500 na Runx 1800. Allex ina nafasi pana kidofo ndani kuliko Runx
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
Upo sahihi mkuuKwa mara ya kwanza naona nyuzi hii imeandikwa na kuchangiwa na watu wenye uelewa wa mambo yanayohusu magari nikupongeze Bwana EINSTEIN112 kwa kuleta maada hii.niwapongeze wote kwa kuniongezea elimu hii ya magari.nilikuwa najiuliza maswali kama hayo hayo.hasa mfanano muundo wa magari ya toyota
Ila nadhani nimemuelewa Bwana Idimi kwamba makamuni yanashirikiana kwenye R&D.ndiyo maana hata ukiangalia new model Nisan extrail,Hydai n.k zinafanana na RV new model.hata Nissan patrol latest model inafanana naV8/VX. bod Forester na BMW zinafana pia
Lakini pia naonaga kama Toyota Rushi inamfanano furan hiv na terios Dahuts
Yaani hizo gari kila kitu kinaingiliana ni kama Premio na Allion tofauti ni taa za kwenye Buti la PremioAisee bas runx yangu iko tofauti.......ina cc 1490 na engine ya 1nz fe......wengine wanasema tofauti ya hizo gari mbili ni rangi za dashbord na interior.