Aisee bas runx yangu iko tofauti.......ina cc 1490 na engine ya 1nz fe......wengine wanasema tofauti ya hizo gari mbili ni rangi za dashbord na interior.
Kweli kabisa!Uko sahihi hakuna runx ya cc1700 either amepitiwa au kutokujua kwa hilo amepotosha
Uko sahihi. Sijawahi ona. Runx cc 1490 ndio common. Kama anayo ya cc 1800 anipe hata 100m nanunua [emoji3][emoji3][emoji3]Uko sahihi hakuna Runx ya cc1700 either amepitiwa au kutokujua kwa hilo amepotosha
Naomba nisahihishe...Hiyo L/Cruiser injini yake ni 1VDJ FTV,hiyo 1KD ni kwenye Prado,Hilux n.kHahaha sasa kama Landcruiser VX V8 ile 2017 ndio ilikuwa facelift ya kwanza ila engine ni ile ile 1KD-FTV D-4D (Turbo diesel V8) ila walichobadili ni taa tu za nyuma na mbele, grill na Fenders. Ndani wakaboresha infotainment system.
Ila mtu mwenye kilimo kwanza ya 2009 anaweza kwenda sawa tu na walioko 2020 akinunua Facelift Kit na Infotainment package. The same applies to Prado ya kuanzia 2010 nayo unaweza kuifanya kuwa ya 2020 ukipata facelift kit.
Yeah mkuu asante, ni 1VD -FTV nilipuyanga hapoNaomba nisahihishe...Hiyo L/Cruiser injini yake ni 1VDJ FTV,hiyo 1KD ni kwenye Prado,Hilux n.k
imeisha hiyooo MkuuYeah mkuu asante, ni 1VD -FTV nilipuyanga hapo
EINSTEIN112,
Mkuu huwa zinatofautishwa kulingana na performance,mfano Toyota Allex na Toyota Runx zina muundo mmoja na zinafanana kwa asilimia 80,lakini Toyota Allex ina engine ndogo ya cc1450 na ulaji wa mafuta ni 15.5km/ltr,Toyota Runx ina cc1750 na inakwenda na 11km/ltr.pia hata ukubwa wa body zinapishana kidogo Runx ni kubwa kidogo kuliko Allex.
Hivyo ukitaka gari inayokimbia kwa safari za mbali Runx inakufaa,ukitaka gari kwa ruti za mjini tu hapa hapa Allex ni chaguo sahihi.the same applies to Carina TI vs Carina SI, carina Ti ina engine ndogo kuliko Si
hadi mtu mzima anaandika kitu,huwezi chukua mamlaka kusema hajui anachoandika,sidhani pia kama research yako uliyoifanya wewe kama uliconsider detailed specifications za gari/magari husika, zaidi utafiti wako upo kwenye gari used from japan,ambayo either ni manufacturer refurb or whatever.Runx kuwa na NZ 1490 engine haibadilishi kusudio la kuundwa kwake.We ndo umeandika kitu hukifahamu better ufanye research kwanza ..nana kasema runx inakuja na engine hiyo tu...hujui kuna runx zina ile ya 1.5L NZ series?
hadi mtu mzima anaandika kitu,huwezi chukua mamlaka kusema hajui anachoandika,sidhani pia kama research yako uliyoifanya wewe kama uliconsider detailed specifications za gari/magari husika,zaidi utafiti wako upo kwenye gari used from japan,ambayo either ni manufacturer refurb or whatever...
Sasa utakuta magari tofauti yanatumia injin aina moja huu si kukosa ubunifu?
1NZ, 2NZ, 3S, 4S, 7A, 4E nk hizi injini unazikuta kwenye magari kibao tofautitofauti, YAANI HAWA JAMAA WANATUCHEZEA AKILI KWA KUBADILISHA MUONEKANO TU WA BODI, WANATWIST AKILI ZETU KIDOOGA WANATUPIGA ELA NDEEEFU
Hahaha sasa kama Landcruiser VX V8 ile 2017 ndio ilikuwa facelift ya kwanza ila engine ni ile ile 1KD-FTV D-4D (Turbo diesel V8) ila walichobadili ni taa tu za nyuma na mbele, grill na Fenders. Ndani wakaboresha infotainment system.
Ila mtu mwenye kilimo kwanza ya 2009 anaweza kwenda sawa tu na walioko 2020 akinunua Facelift Kit na Infotainment package. The same applies to Prado ya kuanzia 2010 nayo unaweza kuifanya kuwa ya 2020 ukipata facelift kit.
wewe jamaa una shida binafsi sana,umeenda kuvamia post ya mtu mwingine unaanza kuleta ujuaji,nina wasiwasi na upeo wako wa kufikiri maana kama hata unayejadiliana naye humjui hiyo research sijui huwa unaifanya vipi.ngoja nikuache tuNilkwambia uwe unafanya Research unajidai mtu mzma ..naona umetoa mifano ya toyota tu kwan bmw hawarudii engine? Nissan hawarudii engine? Honda je? 😆 Fanya research
Check this outUko sahihi hakuna Runx ya cc1700 either amepitiwa au kutokujua kwa hilo amepotosha
wewe jamaa una shida binafsi sana,umeenda kuvamia post ya mtu mwingine unaanza kuleta ujuaji,nina wasiwasi na upeo wako wa kufikiri maana kama hata unayejadiliana naye humjui hiyo research sijui huwa unaifanya vipi.ngoja nikuache tu
Kwa kujua tofauti kwa macho ya haraka ni kuangalia kwenye tau za nyuma(tail light)moja tau ya reverses ipo kipande na nyingine inaanzia juu mpaka chiniMimi binafsi sijajua jutofautisha kati Runx na Allex kwa kuangalia kwa macho mpaka nisome nembo pale nyuma.
Sio Toyota Boon. Ni Daihatsu boon.
Okey lakini zote ni muundo huohuo na ni Japan madeSio Toyota Boon. Ni Daihatsu boon.
Kuna:
Daihatsu Boon
Toyota Passo
Daihatsu Sirion
Subaru justy ya 2010