EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
-
- #61
Mekusoma mkuuWakati mwingine majina yanatofautishwa na masoko. Unakuja gari Japan lina jina fulani ila kwenye soko tofauti kuna jina kama hilo kwenye gari jingine teyari. So inabidi watafute jina tofauti kwa same car...
Sio kweli mkuu, kuna Runx zenye injini ya 1NZ FE hali kadhalika kuna Alex yenye 1ZZ ni chaguo lako tuu, ingia kwenye page za Japan car dealers uangalie kama nakudanganyaSikuwahi kujua tofauti za Allex na RunX ila so far nimekumanya mkuu. Allex 1490cc kwa RunX 1790cc! In other words ni 1NZ-FE kwa 1ZZ-FE
poa poaSio kweli mkuu, kuna Runx zenye injini ya 1NZ FE hali kadhalika kuna Alex yenye 1ZZ ni chaguo lako tuu, ingia kwenye page za Japan car dealers uangalie kama nakudanganya
Hizi gar kwenye injini hazina tofauti kuna allex yenye 1496cc 1nz na 1790cc 1zz hata kwa Runx nayo ipo hvyo hvyo. Tofaut ya hzi gar ni ukubwa wa body, Allex ni pana ndan kuliko Runx pia Allex ina stability zaid barabaran ikiwa kwenye mwendo kuliko Runx. Runx ilizalishwa na kampun ya corola na Allex ilizalishwa na kampuni ya Sprinter.Aisee bas runx yangu iko tofauti.......ina cc 1490 na engine ya 1nz fe......wengine wanasema tofauti ya hizo gari mbili ni rangi za dashbord na interior.
Zipo zenye 1496cc 1nz na 1790cc 1zz msikataeUko sahihi. Sijawahi ona. Runx cc 1490 ndio common. Kama anayo ya cc 1800 anipe hata 100m nanunua [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo bana eti wanatupiga hela kibao. Hebu jaribu kubuni yako tuone1NZ, 2NZ, 3S, 4S, 7A, 4E nk hizi injini unazikuta kwenye magari kibao tofautitofauti, YAANI HAWA JAMAA WANATUCHEZEA AKILI KWA KUBADILISHA MUONEKANO TU WA BODI, WANATWIST AKILI ZETU KIDOOGA WANATUPIGA ELA NDEEEFU
Nimekusoma mkuuKuhusu maelezo ya mtoa mada, naona hayuko sahihi kwa upande wa Runx vs Allex. Ukweli ni kwamba ukiondoa jina na body, kila kitu ni sawa sawa kabisa. Zipo za cc 1490 ambazo ni nyingi kwa magari yote na chache sana za Engine ya cc 1790...
Japanese wana vision ya mbali sana;wanachofanya wanacheza na economics za soko!Sasa huoni hata maintanance inakuwa rahisi kwa mlaji? Shockup ya Corolla unaifunga kwenye makes zaidi ya 3 huoni ni raha. Side mirrors vile vile. Ama ulitaka kila gari ibebe spear yake pekee? Kwamba suspension hii ni ya Benz C200 basi ikae humo tu? kwenye E350 isiingiliane vitu. Au kwenye zile S500, S550 zisiingiliane parts wakati gari ni basically moja tu tofauti labda ni engine tu.
Hahahahah ndio maana mjapani anapendelewa zaidi. Ulichosahau pia durability. Kwa mjapani hilo ni kipaumbele.Japanese wana vision ya mbali sana;wanachofanya wanacheza na economics za soko!
-Parts kutumika kwenye gari zaidi ya moja linafanya magari yao yanakuwa affordable kwa end user na kuwaongezea soko...