Mswahili hawezi kutunza kitu hata simu inamshinda
Mpe simu baada ya mda ina plaster na rubber band
Mkodishie nyumba unakuta kila kona kavunja
Itakuwa gari linalotembea
Bado enzi zile za foleni kubwa ya pantoni, kuna watu hawapangi foleni wanachomeka bila kukupa taarifa, Kuna mtu aligonga gari yangu siku moja kipumbavu Sana,mi nasogeza gari mbele nae huyo ghafla kaingiza nyuma yangu akapiga ubavu wote.