Wajapani wanawezaje kutunza magari namna hii?

Wajapani wanawezaje kutunza magari namna hii?

Ahsante kwa maelezo mazuri, hapohapo naomba unisaidie kuhusu haya magari, kuna magari ukiangalia bei ya kuagiza mpaka unalimiliki bei ni kubwa sana lkn ukienda showroom za bongo unakuta gari hilo ni jipya( hasa rangi ya silver) na bei yake iko chini sana waweza kukuta tofauti ni kama milioni 7 hadi 10 kulingana na aina ya gari.Yaani hapo kinachonishangaza hayo magari yanaonekana ni mapya tofauti na mitumba toka japan.
Moshi na arusha kuna garage ambazo gar nying zikipiga mzinga znapelekwaga huko.ikirud ni mpya kabisa inawekwa show room na unanunua tena..ukitaka amin nenda pale jangwan wanaposafirisha mizigo wanasafirisha kila siku magar kwenye fuso
 
Hii yawezekana! hayo magari ni mepesi kupita kiasi na ukiyatafta showroom za kijapani wala hayapo na cha ajabu yana rangi 1 tu silver
 
View attachment 1659067

Wajapani wanawezaje kutunza gari na kubaki mpya kiasi hiki ikiwa na miaka 28. Japan ni nchi ya visiwa visiwa, hali ya hewa ya joto na wakati mwingine baridi Kali, upepo unavuma chumvi, vitu vinapata kutu.

Lakini magari ya Japan yana bodi imara sana haiathiriki na kutu ukilinganisha na magari ya Uingereza.
Hivi hii imekaaje?
Hata tu gari kuendelea kuwa mpya baada ya miaka 28 tangu itengenezwe.
Extrovert , RRONDO na Mshana Jr naomba maarifa yenu na wengine wote ambao sijawataja mwakaribishwa
Safiaf
 
Achana nae huyo hao wengine umri wao ni kiduchu hawaijui Arusha ndiyo maana anatupiga fix eti masaa manne heee anaijua kweli dar to A town km zake
Dar to Arusha km 625 kama utaendesha kwa speed ya 120 bila kupunguza mwendo wala kusimama popote kibati kikawa ni 120 utatumia saa 5:20 sasa sijui alikuwa anapia hewani hakuna kupunguza mwendo kwenye makazi sehemu za vizuizi nk
 
Mkuu umaskini na kutunza vitu ni vitu viwili tofauti. Chukulia wewe gari yako unaitunza vizuri sana ila ukiingiza barabarani unakutana na
1. Daladala
2. Bodaboda
3. Binadamu wasiojali Mali za watu(hawa unaweza kuwakuta wamekaa juu ya bonnet wanapiga Stori au unamkuta kaweka kreti lake la matunda au maji anayouza
4. Jua kali, vumbi, matope, madimbwi
5. Maji machafu na sabuni za unga unazooshea

Hivi vyote haviwezi kukukosa lazima gari ichakae bila kupenda
Naona umeongea ya moyoni sana
 
Mkuu nakaa Kigamboni natumia pantoni mara kwa mara yaani kuna wamama wana ndoo za samaki wanapita nazo katikati ya magari wanagonga gari lako na zile ndoo bila kujali. Ukitaka siku yako iharibike muulize au mwambie apite vizuri. Bado wauza crisps hawajaweka matenga yao ya chuma juu ya bonnet, raia ataweka begi lake juu ya boot, bado kuna wale wabeba mabegi mgongoni kazi Yao ni kugonga na kugeuza side mirror. Ni balaa gari ina makovu balaa!
Out of topic😂😂
Ile dva niliooneaga kigamboni
 
View attachment 1659067

Wajapani wanawezaje kutunza gari na kubaki mpya kiasi hiki ikiwa na miaka 28. Japan ni nchi ya visiwa visiwa, hali ya hewa ya joto na wakati mwingine baridi Kali, upepo unavuma chumvi, vitu vinapata kutu.

Lakini magari ya Japan yana bodi imara sana haiathiriki na kutu ukilinganisha na magari ya Uingereza.
Hivi hii imekaaje?
Hata tu gari kuendelea kuwa mpya baada ya miaka 28 tangu itengenezwe.
Extrovert , RRONDO na Mshana Jr naomba maarifa yenu na wengine wote ambao sijawataja mwakaribishwa

Kaka hakuna tope wala vumbi kule
 
Hzo gar ni biashara na kuna makampun rasmi ndo kaz yao hyo..mtu akishatumia anapeleka kuuza gar lake kwa hayo makampun ..hayo makampun wnaachofanya wana repair gar sehem zote zenye kasoro kubwa kubwa..na rangi inapigwa...na kwaasabab wana tech nzur bas gar inatoka mpyaa kabisa....kwahyo si kwel et wanatunza kihivyoo...kawaida ingawa yao hayachakai sana kama huku
Vipi uki repair hapa hapa Tanzania
 
Japan kuna makampuni wanayonunua hzo gar na kuzirepair tena..halaf zinauzwa sokoni na soko la africa..so sabab kule viwanda ni ving so wana utaalam huo..gar inatoka kama mpya..so sio et wale wanatunza saaaana..hapana..gar znaharibika sana tu.mikwaruzo ming..sema mtu akiona hvyo anapeleka kwenye hayo makampun analiuza gar lake bei nzur jamaa wanalipeleka garage linakua repaired kila kona..halaf linauzwa tena huku ...so usiamin snaa kwamba wao wanatunza sana ..hapana..ingawa gar zao hazichakai sanaa kama huku
Basi gharama za ku repair zitakuwa ndogo sana maana kuna magari yanauzwa hadi $500
 
Back
Top Bottom