Wajapani wanawezaje kutunza magari namna hii?

Wajapani wanawezaje kutunza magari namna hii?

Japan magari yanayozidi miaka 10 ni lazima yapasi inspection kila mwaka au wanaziondoa barabarani na kununua mpya
Na inspection ni hela sana ila kama anaipenda gari ataendelea kuitunza kwa hali ya juu
 
Hzo gar ni biashara na kuna makampun rasmi ndo kaz yao hyo..mtu akishatumia anapeleka kuuza gar lake kwa hayo makampun ..hayo makampun wnaachofanya wana repair gar sehem zote zenye kasoro kubwa kubwa..na rangi inapigwa...na kwaasabab wana tech nzur bas gar inatoka mpyaa kabisa....kwahyo si kwel et wanatunza kihivyoo...kawaida ingawa yao hayachakai sana kama huku

Mkuu me nna swali hapa! hayo makampuni yanapataje faida na muuzaji anauza kwa bei gani?

mfano toyota passo unakuta ukiingia be foward inauzwa USD 500.

Je muuzaji wa kwanza aliuza kwa shillingi ngapi? kampuni ya kununua walinunua kwa sh ngapi? hizo repair walizofanya nahisi zitakaribia bei hio.

naomba nieleweshe hapa.
 
Mkuu..japan ndo gar znapozaliwa..so uchaw wote kuhusu magar uko huko..kuna viwanda had vichochoron..yaan kama huku tunavvyoona wachomelea mageti na madirisha walivyotapakaa au watengeneza sofa bas ndo huko japan..had watoto wana utaalam wa magar.ndo maisha yao..so had mtu akauze na gar ifanyiwe repair ujue kuna faida wanapata...usitegemee rang ya gar unayonunua bongo ndo bei hyo hyo utaikuta japan..heb ingia mtandao halaf angalia spare za magar zilivyo cheap huko kwao ukifananisha na huku...so faida wanapata .wanajua wanavyofanya wao..ila hivo viwanda na garage zenye hzo kaz ziko kibao japa..batery unayonunua huku lak150 japan inauzwa elf 15..so imagine hapo...
 
Dah kweli wanazingua, kuna mwana kanipigia anatukana kichizi...Yani kuna.bajajai kapasua kakioo kadogo ka mlangoni sanjari na kuharibu show ya mlango. Ubaya bajaji alikimbia yani.Jamaa anatengeneza gari kwa hela za kukopa inauma kichizi.
Utatunza wewe ila wanaokuzunguka(bodaboda,daladala) na mazingira(barabara,jua,wananchi wasioheshimu vya watu) wataichakaza.
sasa unataka kukataa 4hrs private haifiki

gari ya magazeti inakwenda masaa mangapi?
6
 
Dah kweli wanazingua, kuna mwana kanipigia anatukana kichizi...Yani kuna.bajajai kapasua kakioo kadogo ka mlangoni sanjari na kuharibu show ya mlango. Ubaya bajaji alikimbia yani.Jamaa anatengeneza gari kwa hela za kukopa inauma kichizi.
6
Hata ukimkamata hana hela
 
Huk japan gar ni bei che mtu anaweza kumilik gar zaid ya moja hivyo inasaidia sana kuzitunza kwakua unakua hizchosh sana na miundombinu iko vzur pia , servce za mara kwa mara kwakua hata spea znaptkana kwa gharama nafuu.
Kazi haipo kwenye kununua ishu ni parking,kifupi Japan huwezi ruhusiwa kununua gari kabla hujaonesha kuwa utakuwa unalipaki wapi
 
Hzo gar ni biashara na kuna makampun rasmi ndo kaz yao hyo..mtu akishatumia anapeleka kuuza gar lake kwa hayo makampun ..hayo makampun wnaachofanya wana repair gar sehem zote zenye kasoro kubwa kubwa..na rangi inapigwa...na kwaasabab wana tech nzur bas gar inatoka mpyaa kabisa....kwahyo si kwel et wanatunza kihivyoo...kawaida ingawa yao hayachakai sana kama huku
Niliwahi kuwaza hili la gari kupigwa rangi maana ikija huku ikakaa mwaka tu rangi inaanza kupauka kwenye bonnet
 
Yes mkuu

Ile pafyumu sijawahi isikia mahali toka nazaliwa
Hayo ni madawa yanapulizwa ndani ya gari ili kufanya buibui asigeuze kuwa makazi yake.......
Inashangaza kidogo kuna siku nilipata bahati ya kuingia ndani ya meli ya magari nikakuta picha zimebandikwa kabisa zinakuonya ukiona buibui humu ndani muue....hapendwi mno huyu mdudu na sijui kwanini
 
Nimeendesha Dar-Mbeya juzi night toka saa 6 usiku kitonga nimepita saa 12 alfajiri mpaka kuja kutoboa mazingira ya uyole ni 8 kasoro mchana na fine za kutosha[emoji23] 50 kibao maana palishapambazuka.

Which means bila matochi ningeweza kupunguza hayo masaa yakawa nusu nikawa na jumla ya masaa 10 toka Dar - Mbeya. Kwa mwendo wa kichaa inawezekana kabisa kutoboa masaa 9 Dar-Mbeya ikiwa hamna traffic lakini.
2018 Nilitoka Mbeya saa 10 Unusu jioni, 7 usiku niko Kimara
Faini 25000 Tu Iyovi
 
Hayo ni madawa yanapulizwa ndani ya gari ili kufanya buibui asigeuze kuwa makazi yake.......
Inashangaza kidogo kuna siku nilipata bahati ya kuingia ndani ya meli ya magari nikakuta picha zimebandikwa kabisa zinakuonya ukiona buibui humu ndani muue....hapendwi mno huyu mdudu na sijui kwanini
Wee usinambie[emoji849][emoji849][emoji15]

Mbona harufu nzuri hivooo?
 
Haya nimeamka asubuhi nakuta gari imechunwa,haina hata mwezi,ikifika miezi sita itakuwaje?
IMG_20201227_082816_1.jpg
 
Back
Top Bottom