Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Tatizo spear zake zingekuja kuwa mtihani.Unavyosema uliwahi kulimiliki ukaliuza umenitia hasira sana.
Yakale ni dhahabu hasa ukijua kutunza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo spear zake zingekuja kuwa mtihani.Unavyosema uliwahi kulimiliki ukaliuza umenitia hasira sana.
Yakale ni dhahabu hasa ukijua kutunza.
wastani wa umbali kati ya Dar es salaam na Arusha kwa barabara ni km 630. kwa masaa manne manake kila saa mwamba alikuwa anakata km 157.5...Achana nae huyo hao wengine umri wao ni kiduchu hawaijui Arusha ndiyo maana anatupiga fix eti masaa manne heee anaijua kweli dar to A town km zake
Ina maana serikali ina hela ya kununua gari ila haina hela ya service? Is that possible serikali ilipie Prado 100 in cash ila ishindwe kulipia service ya mil.3 kila mwezi?Gari za serikali 90% zinakufa sababu service haizingatiwi.
Idara niliyopo zilinunuliwa gari 2010 zikaanza kukosa nguvu 2012, 2013 zikafa jumla.
Ulinielewa vizuri. Mazingira yanatuangusha sana.watu binafsi atleast wanajitahidi,japo mazingira yanawaangusha kama ulivyoandika hapo juu.
ila humo kwenye taasisi ndio kuna mambo ya hovyo aisee.
Hela inatoka ila unatujua wabongo mkuu. Mpe ndugu yako au kijana akakufanyie service utanipa majibu. Hata filter anaweza asibadili.Ina maana serikali ina hela ya kununua gari ila haina hela ya service? Is that possible serikali ilipie Prado 100 in cash ila ishindwe kulipia service ya mil.3 kila mwezi?
Nyie ndio mkiambiwa Tawaqal ilitoka Dar saa kumi na mbili asubuhi ikaingia Mbeya saa saba mchana mnabisha
Mi washanipasulia mara 4 kwa miaka tofauti na zote walisepaHiki ndio kinauma zaidi!
Hio 157.5 km yenyewe ili uikave ndani ya lisaa unahitaji matuta yasiwepo kabisa wala destructions nyingine kama foleni.wastani wa umbali kati ya Dar es salaam na Arusha kwa barabara ni km 630. kwa masaa manne manake kila saa mwamba alikuwa anakata km 157.5...
Hahahah hapo nimekupata vizuri mangiHela inatoka ila unatujua wabongo mkuu. Mpe ndugu yako au kijana akakufanyie service utanipa majibu. Hata filter anaweza asibadili.
Mtu mzima kuwa muongo inafikirisha shana
Huijui supercharger kaa kimya. Nenda kaangalie Bei yake
Anatufanya sie mazuzu eti dar arusha masaa manne thubutu
Jumlisha wavaa jeans kuegemea gari ilhali ile mifuko ya nyuma husaidia kuchuna rangi sbb ya vile vichumaMkuu umaskini na kutunza vitu ni vitu viwili tofauti. Chukulia wewe gari yako unaitunza vizuri sana ila ukiingiza barabarani unakutana na
1. Daladala
2. Bodaboda
3. Binadamu wasiojali Mali za watu(hawa unaweza kuwakuta wamekaa juu ya bonnet wanapiga Stori au unamkuta kaweka kreti lake la matunda au maji anayouza
4. Jua kali, vumbi, matope, madimbwi
5. Maji machafu na sabuni za unga unazooshea
Hivi vyote haviwezi kukukosa lazima gari ichakae bila kupenda
tatizo ni lile lile usimamizi mbovu.Ina maana serikali ina hela ya kununua gari ila haina hela ya service? Is that possible serikali ilipie Prado 100 in cash ila ishindwe kulipia service ya mil.3 kila mwezi?
Gari zetu kibongo zinachoka sababu ya Barabara mbovu. Unanunua gari zima Japan ila likikaa mwaka tu bongo lishachakaa. Ila kwa sahizi gari za mjini nyingi ni mpya mpya. DS,DT,DU,DV... Usipofungua mavioo wala kutembea kwene makorongo gari ikavuka yale macover ya chini basi gari inakuwa iko poa sana.Kwa utaratibu wa kijapani, gari ni lazima kufanyiwa service/check up kila baada ya miaka 2.
Pili, gari kama hiyo umiliki wake ni wa mtu mmoja tu, tena Bibi wa kijapani ambae safari zake ni supermarket na nyumbani!!
Tatu, miundo msingi kuanzia barabara na teknolojia vina mchango mkubwa sana ktk utunzaji wa gari.
Achana nae huyo hao wengine umri wao ni kiduchu hawaijui Arusha ndiyo maana anatupiga fix eti masaa manne heee anaijua kw
Acheni uongo nyie watu ,mi sio mtoto na mi ni dereva mzuri hata hiyo speed labda ule msafara wa rais yaani speed 200 ndio utafika dodoma masaa 2 na nusu,nimeishi dodoma na nimeendesha private car usiku hicho kitu hakiwezekaniWatoto wa juzi hamuelewi
Kuna Kipind mimi nilikua natoka Dar-Dodoma karibia km 450 kwa Masaa2 na nusu usiku saivi nashangaa mabasi yanatumia masaa 8+
Maisha yanakwenda kasi sana
Dah, kuna watu wana mambo ya hovyo sana.tatizo ni lile lile usimamizi mbovu.
kuna wapuuzi hata kadi za mafuta wanawapora madereva.anakaa nayo yeye.
Hahahah enzi zile za "Mtoto wa Geti kali" zilikuwa na mziki wa Kenwood balaa. Ndani very comfortableMwenzake na Mark 2 hizi alikuwa Toyota Chaser GR80 bongo zilifahamika kama Chaser Mayai. Wakubwa kipindi kile walitamba nazo Sana mtaani zilikuwa zinakuja na mziki mkubwa.
Hii hata mie niliwahi kusikia mkuu!Hzo gar ni biashara na kuna makampun rasmi ndo kaz yao hyo..mtu akishatumia anapeleka kuuza gar lake kwa hayo makampun ..hayo makampun wnaachofanya wana repair gar sehem zote zenye kasoro kubwa kubwa..na rangi inapigwa...na kwaasabab wana tech nzur bas gar inatoka mpyaa kabisa....kwahyo si kwel et wanatunza kihivyoo...kawaida ingawa yao hayachakai sana kama huku
Sio hawajali ni wana roho mbayaDaaah mnachosema nikweli kabsa raia wakibongo hawajali kabsa mali za watu wengne
Njia ya mbeya sio. Mzoefu ila dar arusha masaa manne ...Nyie ndio mkiambiwa Tawaqal ilitoka Dar saa kumi na mbili asubuhi ikaingia Mbeya saa saba mchana mnabisha
Hio Mark 2 enzi hizo mengi yalikuwa ni manual 5 speed yanachanganya haraka mno halafu kibati 180kph huku ma Landrover speed 120 kwa 160 zile land cruiser mkonge. Hamna namna wangeugusa huo moto wa 1GMwambie gari moja Ila driving skills za kila dereva zitafanya Muda wataotumia uwe tofauti.
Way back Kuna mshua alikuwa Vwawa,Mbozi ana Mark 2 kama hii, alikuwa anatumia kubeba Magendo kutoka boda kwenda Mbeya Mjini. Kabla ya kuanza kuwekwa barrier Vwawa/Senjele/Mbalizi. Alikuwa akitoka na hii Mark 2 hakuna Defender wala Toyota Land Cruiser ya polisi au TRA iliyokuwa ikimbiza na kufanikiwa kumpata.