Wajapani wanawezaje kutunza magari namna hii?

Wajapani wanawezaje kutunza magari namna hii?

I had been there mfumo wao wa ukarabati ni tofauti sana wao kitu kikiharibika hutolewa na kuwekwa kingine kipya ndio maana kwenye gomii zao gomii huko ni jalala unaweza kupata vitu vingi sana kwa kuokota tu na vikawa very usefully hapa tanzania
 
Inapendeza sana...

Speed Bumps hawana...
Kila chombo kina lane / yake (Wapita kwa miguu kwao, waendesha baiskeli kwao, waendesha pikipiki kwao, magari kwao)
Wana limit ya kutembeza gari, maximum 5years zaidi ya hapo lisionekane mjini, ulipeke shambani au yard...
Wanabarabara nzuri... Mafuta yao ni Grade A.

Cc: mahondaw
 
Njia ya mbeya sio. Mzoefu ila dar arusha masaa manne ...
Nimeendesha Dar-Mbeya juzi night toka saa 6 usiku kitonga nimepita saa 12 alfajiri mpaka kuja kutoboa mazingira ya uyole ni 8 kasoro mchana na fine za kutosha😂 50 kibao maana palishapambazuka.

Which means bila matochi ningeweza kupunguza hayo masaa yakawa nusu nikawa na jumla ya masaa 10 toka Dar - Mbeya. Kwa mwendo wa kichaa inawezekana kabisa kutoboa masaa 9 Dar-Mbeya ikiwa hamna traffic lakini.
 
La 1JZ ndio nafikiri alikuwa nalo huyo mzee wa magendo. Maana lile ni moto wa kuotea mbali.
Kuna moja ilikuwa na injini ya 1G Super Charger hii ilikuwa ni balaa. Dereva alikuwa ni mshua fulani mtu mzima anapenda kupiga zile vest za wacheza basketball na miwani tinted nyeusi. Hiyo Mark 2 ilikuwa na exhaust kubwa yenye kelele akipita ni kaweka mziki mkubwa unasikia 1G inavyolalamika anavyopiga change down ya Gear.

Angekuwepo kizazi hiki cha Alteza na Subbie angetuonesha ukongwe vijana wa leo.
 
Hahahaha ilo superchager kiboko. Sema hizi Mark tu zilikuwa magoli sana. Yani kama mzee akiwa nalo mtaani heshima sana ni kama zilivyo crown tu kwa sasa.

Wengi tulipelekwaga shule na hii gari. Gari comfortable ikipgwa na Mr.Poppy kwa Dashboard ni uhakika
 
Hizo Mark 2 uzao wa GR80 na GX100 ndio zilikuwa imara Sana kwenye body.
Baada ya kuja wakina Verosa,Mark 2 Grande GX110 mpaka uzao wa Mark X upande wa body uimara ukawa umepotea.
 
Usafi pia huku changamoto... Ndani ya gari activity nyingi Sana zinafanyika plus michanga gari Inakuwa na uchafu Kama uchafu wa sokoni...
 
Acheni uongo nyie watu ,mi sio mtoto na mi ni dereva mzuri hata hiyo speed labda ule msafara wa rais yaani speed 200 ndio utafika dodoma masaa 2 na nusu,nimeishi dodoma na nimeendesha private car usiku hicho kitu hakiwezekani
Hahahaaa haya boss
 
Hizo Mark 2 uzao wa GR80 na GX100 ndio zilikuwa imara Sana kwenye body.
Baada ya kuja wakina Verosa,Mark 2 Grande GX110 mpaka uzao wa Mark X upande wa body uimara ukawa umepotea.
Sahivi wanatia body jepesi. Linapinda kirahisi yani ukirudia rangi tu halifichiki
 
Huk japan gar ni bei che mtu anaweza kumilik gar zaid ya moja hivyo inasaidia sana kuzitunza kwakua unakua hizchosh sana na miundombinu iko vzur pia , servce za mara kwa mara kwakua hata spea znaptkana kwa gharama nafuu.
 
Mkuu ww upo Japan?
 
Back
Top Bottom