Wajapani wanawezaje kutunza magari namna hii?

Wajapani wanawezaje kutunza magari namna hii?

Hahahaha ilo superchager kiboko. Sema hizi Mark tu zilikuwa magoli sana. Yani kama mzee akiwa nalo mtaani heshima sana ni kama zilivyo crown tu kwa sasa.

Wengi tulipelekwaga shule na hii gari. Gari comfortable ikipgwa na Mr.Poppy kwa Dashboard ni uhakika
Itanidi hii crown nihonge naona imeanza kuwa yeboyebo 😃😃😃... maana watu wanaziongelea vibaya vibaya tu
 
Nimeikuta moja hapa buguruni.
IMG_20201227_154820.jpg
 
Pamoja na miundombinu ya barabara za Japan kuwa bora, lakini pia Wajapani hutumia sana usafiri wa umma (public transport) ambao uko more advanced na kasi. Ambapo wengi hutumia gari binafsi kwa siku chache katika mwezi.
Kwa bongo hata ukiendesha gari mara 1 kwa wiki lkn liangalie baada ya mwaka haliwezi kulinga na la japan japo yametengenezwa mwaka mmoja
 
Hzo gar ni biashara na kuna makampun rasmi ndo kaz yao hyo..mtu akishatumia anapeleka kuuza gar lake kwa hayo makampun ..hayo makampun wnaachofanya wana repair gar sehem zote zenye kasoro kubwa kubwa..na rangi inapigwa...na kwaasabab wana tech nzur bas gar inatoka mpyaa kabisa....kwahyo si kwel et wanatunza kihivyoo...kawaida ingawa yao hayachakai sana kama huku
Ahsante kwa maelezo mazuri, hapohapo naomba unisaidie kuhusu haya magari, kuna magari ukiangalia bei ya kuagiza mpaka unalimiliki bei ni kubwa sana lkn ukienda showroom za bongo unakuta gari hilo ni jipya( hasa rangi ya silver) na bei yake iko chini sana waweza kukuta tofauti ni kama milioni 7 hadi 10 kulingana na aina ya gari.Yaani hapo kinachonishangaza hayo magari yanaonekana ni mapya tofauti na mitumba toka japan.
 
Back
Top Bottom