Mbona zinakuja na Km juu ya laki na bado ni mpya kabisa?Pamoja na miundombinu ya barabara za Japan kua bora, lakini pia Wajapani hutumia sana usafiri wa umma (public transport) ambao uko more advanced na kasi. Ambapo wengi hutumia gari binafsi kwa siku chache katika mwezi.
Niuzienigari za serikali 90% zinakufa sababu service haizingatiwi.
idara niliyopo zilinunuliwa gari 2010 zikaanza kukosa nguvu 2012,2013 zikafa jumla.
Mwambie gari moja Ila driving skills za kila dereva zitafanya Muda wataotumia uwe tofauti.Kwani tunafanana kwenye driving skills?
Duh.mi nakuchkuliaga poa ...98 hiv mim nilikua darasa la kwanza au..nmesahau...View attachment 1659067
Wajapani wanawezaje kutunza gari na kubaki mpya kiasi hiki ikiwa na miaka 28. Japan ni nchi ya visiwa visiwa, hali ya hewa ya joto na wakati mwingine baridi Kali, upepo unavuma chumvi, vitu vinapata kutu.
Lakini magari ya Japan yana bodi imara sana haiathiriki na kutu ukilinganisha na magari ya Uingereza.
Hivi hii imekaaje?
Hata tu gari kuendelea kuwa mpya baada ya miaka 28 tangu itengenezwe.
Extrovert , RRONDO na Mshana Jr naomba maarifa yenu na wengine wote ambao sijawataja mwakaribishwa
Hizo huwa ni gari za obachan (wabibi) wa kijapani!!Wanaume hawaruhusiwi kuendesha au kumiliki gari?
Je mujito hunywa na wanaume TU?
Japan kuna makampuni wanayonunua hzo gar na kuzirepair tena..halaf zinauzwa sokoni na soko la africa..so sabab kule viwanda ni ving so wana utaalam huo..gar inatoka kama mpya..so sio et wale wanatunza saaaana..hapana..gar znaharibika sana tu.mikwaruzo ming..sema mtu akiona hvyo anapeleka kwenye hayo makampun analiuza gar lake bei nzur jamaa wanalipeleka garage linakua repaired kila kona..halaf linauzwa tena huku ...so usiamin snaa kwamba wao wanatunza sana ..hapana..ingawa gar zao hazichakai sanaa kama hukuMbona zinakuja na Km juu ya laki na bado ni mpya kabisa?
Ila Tanzania akiongoza km 10,000 tu gari haifai?
Hzo gar ni biashara na kuna makampun rasmi ndo kaz yao hyo..mtu akishatumia anapeleka kuuza gar lake kwa hayo makampun ..hayo makampun wnaachofanya wana repair gar sehem zote zenye kasoro kubwa kubwa..na rangi inapigwa...na kwaasabab wana tech nzur bas gar inatoka mpyaa kabisa....kwahyo si kwel et wanatunza kihivyoo...kawaida ingawa yao hayachakai sana kama hukuView attachment 1659067
Wajapani wanawezaje kutunza gari na kubaki mpya kiasi hiki ikiwa na miaka 28. Japan ni nchi ya visiwa visiwa, hali ya hewa ya joto na wakati mwingine baridi Kali, upepo unavuma chumvi, vitu vinapata kutu.
Lakini magari ya Japan yana bodi imara sana haiathiriki na kutu ukilinganisha na magari ya Uingereza.
Hivi hii imekaaje?
Hata tu gari kuendelea kuwa mpya baada ya miaka 28 tangu itengenezwe.
Extrovert , RRONDO na Mshana Jr naomba maarifa yenu na wengine wote ambao sijawataja mwakaribishwa
Service wana jali sana na wanatengeneza kulingana namazingira yao ndio favour kubwaView attachment 1659067
Wajapani wanawezaje kutunza gari na kubaki mpya kiasi hiki ikiwa na miaka 28. Japan ni nchi ya visiwa visiwa, hali ya hewa ya joto na wakati mwingine baridi Kali, upepo unavuma chumvi, vitu vinapata kutu.
Lakini magari ya Japan yana bodi imara sana haiathiriki na kutu ukilinganisha na magari ya Uingereza.
Hivi hii imekaaje?
Hata tu gari kuendelea kuwa mpya baada ya miaka 28 tangu itengenezwe.
Extrovert , RRONDO na Mshana Jr naomba maarifa yenu na wengine wote ambao sijawataja mwakaribishwa
Mtu mzima kuwa muongo inafikirisha shana24 valve nimeshawahi mara nyingi KWENDA Arusha kwa masaa manne usiku
Huijui supercharger kaa kimya. Nenda kaangalie Bei yakeMtu mzima kuwa muongo inafikirisha shana
Well saidHzo gar ni biashara na kuna makampun rasmi ndo kaz yao hyo..mtu akishatumia anapeleka kuuza gar lake kwa hayo makampun ..hayo makampun wnaachofanya wana repair gar sehem zote zenye kasoro kubwa kubwa..na rangi inapigwa...na kwaasabab wana tech nzur bas gar inatoka mpyaa kabisa....kwahyo si kwel et wanatunza kihivyoo...kawaida ingawa yao hayachakai sana kama huku
Ongeza nyamaHizo huwa ni gari za obachan (wabibi) wa kijapani!!
Ujizoea Passo akili yako inafungwa na Passo. Hawa madogo utopolo mtupuMwambie gari moja Ila driving skills za kila dereva zitafanya Muda wataotumia uwe tofauti.
Way back Kuna mshua alikuwa Vwawa,Mbozi ana Mark 2 kama hii, alikuwa anatumia kubeba Magendo kutoka boda kwenda Mbeya Mjini. Kabla ya kuanza kuwekwa barrier Vwawa/Senjele/Mbalizi. Alikuwa akitoka na hii Mark 2 hakuna Defender wala Toyota Land Cruiser ya polisi au TRA iliyokuwa ikimbiza na kufanikiwa kumpata.
Binadamu wasiojali Mali za watu(hawa unaweza kuwakuta wamekaa juu ya bonnet wanapiga Stori au unamkuta kaweka kreti lake la matunda au maji anayouza
4. Jua kali, vumbi, matope, madimbwi
5. Maji machafu na sabuni za unga unazooshea
Naelewa kabisa unachosema. Siku moja nimepark gari sehemu nikaja Dar, kurudi, boneti lote limechorwa kwa mawe. Hapo ni few days ago nimetoka kupiga rangi gari nzimaMkuu nakaa Kigamboni natumia pantoni mara kwa mara yaani kuna wamama wana ndoo za samaki wanapita nazo katikati ya magari wanagonga gari lako na zile ndoo bila kujali. Ukitaka siku yako iharibike muulize au mwambie apite vizuri. Bado wauza crisps hawajaweka matenga yao ya chuma juu ya bonnet, raia ataweka begi lake juu ya boot, bado kuna wale wabeba mabegi mgongoni kazi Yao ni kugonga na kugeuza side mirror. Ni balaa gari ina makovu balaa!
Anatufanya sie mazuzu eti dar arusha masaa manne thubutuSio rahisi