Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Neno "iPod" liliunganishwa na neno "Broadcast" likazaliwa neno Podcast.Duh! - Mm nadhani ingekuwa vizuri ungeeleza pia Podcast ni nini ! - binafsi sijui maana yake.
Well, kwenye Google Podcasts unaweza uka-opt kutokudownload. So, mimi huwa nachagua kupata notifications tu badala ya ku-auto download. Manaake nazikiliza kwa ku-stream.Mimi nasikiliza ila shida zinataka kudowload mara kwa mara yaani haziwezi kukaa offline kama tunavyodiwnload nyimbo
Mimi Nasikiliza sana podcast za
1. Naval Reviacant
2. Joe Rogan
Oh yeah, japo saivi wameiweka copy ya Palki 🤪 ... lakini Palki ni Palki 🙌 Ni kama kwenye movie ya "Top Gun: Maverick" wanasema "It's not the plane, it's the pilot!"... Wion wanatakiwa wajue "It's not the show, it's the host!"Yes mkuu, sema nilikuwa nampenda zaidi Palkisha lakini ndio hivyo aliquit
Kabisa kale kabinti kanajaribu kuzungumza kama palki ila palki atabaki kuwa palki.Oh yeah, japo saivi wameiweka copy ya Palki 🤪 ... lakini Palki ni Palki 🙌 Ni kama kwenye movie ya "Top Gun: Maverick" wanasema "It's not the plane, it's the pilot!"... Wion wanatakiwa wajue "It's not the show, it's the host!"
Inasemekana Palki amejiunga na Network 18 (Washindani wa Zee Media ambao ndio wanaendesha Wion). Network 18 inamilikiwa na Bilionea Mukesh Ambani.Kabisa kale kabinti kanajaribu kuzungumza kama palki ila palki atabaki kuwa palki.
Sijui aliquit kwenda wapi yule mwanadada maana nilikuwa nasoma comments unakuta hadi za wa US na raia wa ulaya huko wanamkubali palki.
Itakuwa alioandishiwa dau. Ila ningepebda pia kumwona kwenye network kama aljazeera pia.Inasemekana Palki amejiunga na Network 18 (Washindani wa Zee Media ambao ndio wanaendesha Wion). Network 18 inamilikiwa na Bilionea Mukesh Ambani.
No hakupandishiwa dau; kwa maelezo yake Palki mwenyewe japo hakufafanua kwa undani lakini nadhani kilimkuta kama ilivyotokea kwa Gerald Hando Vs E-Fm. Pressure kutoka kwa mataifa yaliyokuwa yanakosolewa na Palki ikapelekea Wion kulazimika kuachana nae. Alikuwa ananyoosha maelezo mno 😄 kuna kipindi hadi YouTube waliipiga Ban Wion... ikaendeshwa kampeni YouTube wakalazimika kuiondolea ban maana watazamaji "Waliandama" kutoka kila upande wa dunia wakiishinikiza YouTube iondoe ban kwa Wion. Na aliyekuwa mstari wa mbele ni Palki.Itakuwa alioandishiwa dau. Ila ningepebda pia kumwona kwenye network kama aljazeera pia.
Yule mhindi mwingine ambaye anashika namba 3 kwa fedha naona naye amenunua vyombo vingi vya habari india
Alikuwa ananyoosha maelezo halafu anafanya topic ngumu ziwe rahisi.No hakupandishiwa dau; kwa maelezo yake Palki mwenyewe japo hakufafanua kwa undani lakini nadhani kilimkuta kama ilivyotokea kwa Gerald Hando Vs E-Fm. Pressure kutoka kwa mataifa yaliyokuwa yanakosolewa na Palki ikapelekea Wion kulazimika kuachana nae. Alikuwa ananyoosha maelezo mno 😄 kuna kipindi hadi YouTube waliipiga Ban Wion... ikaendeshwa kampeni YouTube wakalazimika kuiondolea ban maana watazamaji "Waliandama" kutoka kila upande wa dunia wakiishinikiza YouTube iondoe ban kwa Wion. Na aliyekuwa mstari wa mbele ni Palki.
Alikuwa fundi sana wa kui-mock Pakistan, yaani hata ambae sio raia wa India unajikuta unacheka vimaneno vyake 🤣Alikuwa ananyoosha maelezo halafu anafanya topic ngumu ziwe rahisi.
Aliongea hadi cartel za makampuni yanayotengeneza madawa ya matibabu.
Taliban and the US.
Bila shaka alikuwa anawakera wengi Palki.
But always when it came to Pakstan vs India alikuwa upande wa India
Sana mkuu. Yule dada ni fundi na anajua kufanya research ya topic atakayoizungumzia. Anakufanya uwe engaged. Palki ni fundiAlikuwa fundi sana wa kui-mock Pakistan, yaani hata ambae sio raia wa India unajikuta unacheka vimaneno vyake 🤣
Tunamuhitaji Palki Mswahili, don't you think? Or at least tuwe na Gravitas Plus ya Kiswahili. Kama hakuna wa kuianzisha mimi nitaanzisha 😉Sana mkuu. Yule dada ni fundi na anajua kufanya research ya topic atakayoizungumzia. Anakufanya uwe engaged. Palki ni fundi
Sure ikitokea akawepo channel kama ile ya Kiswahili, bila shaka itapata subscribers wengi. Mkuu anzisha kama vipiTunamuhitaji Palki Mswahili, don't you think? Or at least tuwe na Gravitas Plus ya Kiswahili. Kama hakuna wa kuianzisha mimi nitaanzisha 😉
Mkui nimekutaka na Palki kwa sasa yuko channel inaitwa FirstspotGravitas; unamaanisha Gravitas ya Wion?
Ndo kwanza naisikia 😄 itabidi niisikilize nione yaliyomo; ila kama ni ya kibongo tayari niko biased 😄Mbona sioni The Chai au ndio kusema imekaa kama Dadaz Mkuu 😂😂.
Ila podcast ni kitu safi sana, nmeanza sikiliza 2013/14 hadi leo ni mdau.