Narubongo
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 2,768
- 2,753
Eneo langu lina chemchem nyingi huku kanda ya ziwa.. niliwaita drillers waje kufanya utafiti na kutoa ushauri + mahitaji yote, gharama nilizotumia ni kuchimba kwa kutumia watu wangu mwenyewe na technician alikuja kumalizia kazi iliyobaki nadhani haikuzidi 5m kwa kisimaMkuu Narubongo natumaini wewe ni mdau wa dodom kama mimi hata mimi nipo kwenye process ya kuchimba kisima kwa ajili ya irrigation kwa nina 200 acres nilitaka kuchimba this month ila nikaambiws sio muda mzuri wa kuchimba nisubiri mpaka mvua zikate na maji yashuke naomba uzoefu wako kwenye uchimbaji hasa kwenye bei hadi sasahivi bei ya chini kabisa niliyopata ni elf 90 kwa m na ni driller toka dar wa hapo dom bei zao hazikamatiki kama unamjua driller yoyote chini ya hapo plse let me know na maji umepata kuanzia umbali gani? by the way ukitumis GH ni rahisi sana hata kwenye uendeshaji kuliko methods nyingine za irrigation i will opt for that
eneo lako maji yapo umbali gani kwenda chini? hawa drillers mara nyingi huwa wanakupa bei za juu wakigundua eneo lako maji yanapatikana umbali mfupi (<30m) i.e wasipate hasara, sababu nyingine ni urasimu wa wafanyakazi wa kampuni hizo c'se na wao wanahitaji cha juu mbali na mshahara.. usiingie ofini mkamate mtu (technician) anayehusika na uchimbaji mmalizane pembeni then akuchimbie hahahaha... trust me hapo utachimba kisima kwa nusu ya bei za ofisi.
Au muelewane ili wewe uchimbe kwa kutumia watu wako halafu wao wasupervise uchimbaji na kuja kufanya finishing lkn bado tunabaki pale pale kumshika mtu mkono
Hatupendi lakini inabidi tu kutokana na kautamaduni ketu