macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Alizuga kufuga kuku ili avutie watu. Hayo yote alitengeneza baada ya kuanza ponzi. Hata kama una maslahi kwenye hii Ponzi huna hoja naJibu swali moja tu. Mr. Kuku alikua anafuga kuku au hakua nao?
Naona kuelezea Ponzi na Uwekezaji imezua mengine.
Kama ni private ltd hakutakiwa kukukusanya kwa watu angekopa kwenye taasisi za fedha,hata ingekuwa public angetakiwa kukusa kwa hisa kwenye soko husika la hisa.kwa njia hiyo aliyeweka hela anadhurumiwa maana hana vigezo.hakuna mkataba halali hapo.Ahsante kwa swali mkuu, hilo dina uhakika nalo ila kwa uchache ilikua ni Limited Company. Hilo nna uhakika nalo.
Kasome company act kwanza.Ipi sheria ya Tanzania ??
Kama ni private ltd hakutakiwa kukukusanya kwa watu angekopa kwenye taasisi za fedha,hata ingekuwa public angetakiwa kukusa kwa hisa kwenye soko husika la hisa.kwa njia hiyo aliyeweka hela anadhurumiwa maana hana vigezo.hakuna mkataba halali hapo.
Upo sahihi mkuu. Kama Mr. kuku ina faida kubwa mpaka kufikia kugawa faida kwa 70% hivi alishindwa nini kwenda kwenye commercial Banks kukopa. Kila siku Bank wanatafuta wateja wenye uhakika but eti mtu uamini kuwa Mr. Kuku anawapenda watu.Kama ni private ltd hakutakiwa kukukusanya kwa watu angekopa kwenye taasisi za fedha,hata ingekuwa public angetakiwa kukusa kwa hisa kwenye soko husika la hisa.kwa njia hiyo aliyeweka hela anadhurumiwa maana hana vigezo.hakuna mkataba halali hapo.
Nyinyi mna fanya crowdfarming?
Mimi nna mabanda naweza fanya na nyinyi?
Sijui kama aliwaeleza akipata hasara inakuwajeUpo sahihi mkuu. Kama Mr. kuku ina faida kubwa mpaka kufikia kugawa faida kwa 70% hivi alishindwa nini kwenda kwenye commercial Banks kukopa. Kila siku Bank wanatafuta wateja wenye uhakika but eti mtu uamini kuwa Mr. Kuku anawapenda watu.
Huo ni upatu kama zilivyo nyingine
Mpaka hapo kulikuwa hakuna business plan ya kuonesha hiyo return ili akopesheke,huku watu wamemchangia bila hats kuoneshwa plan,yani unatoa hela tu bila kujua faida itakujaje!?Hapo tuko pamoja kabisa na ndio maana halisi ya huu uzi. Vitu gani vya kujifunza kama wajasiriamali.
Lakini changamoto za taasisi zetu za fedha si unazielewa mkuu? Baadhi ya miradi/ biashara hawakopeshi.
Hilo la kurasimisha hisa naona lilikua uamuzi sahihi.
Mkuu hivi umesema ukiwa na Business plan inayoonesha hayo uliyosema unakopeshwa na Bank ??Mpaka hapo kulikuwa hakuna business plan ya kuonesha hiyo return ili akopesheke,huku watu wamemchangia bila hats kuoneshwa plan,yani unatoa hela tu bila kujua faida itakujaje!?
Mpaka hapo kulikuwa hakuna business plan ya kuonesha hiyo return ili akopesheke,huku watu wamemchangia bila hats kuoneshwa plan,yani unatoa hela tu bila kujua faida itakujaje!?
Mpaka hapo kulikuwa hakuna business plan ya kuonesha hiyo return ili akopesheke,huku watu wamemchangia bila hats kuoneshwa plan,yani unatoa hela tu bila kujua faida itakujaje!?
Najua wengi wanapingana na hayo maelezo ya Bujibuji ila tu hatuna muda wa kuandika. Kesi aliyofunguliwa Mr. Kuku ni kesi kabisa ya uhujumu uchumi simply kwa kuwa alikuwa anakusanya mitaji bila kuwa na kibali cha kufanya hivyo. Hamna tofauti na DECI. Ameongelea Crowd Farming lakini kwa nchi za wenzetu kuna sheria kabisa ya crowd farming na taratibu za kufuata zimewekwa ikiwa ni pamoja na kuwa na kibali toka Central Bank za nchi husika. Alichokuwa anakifanya Mr. Kuku si sahihiBUJIBUJI, hapa ndio umerudi kwa BUJIBUJI ninayemjua. Yule aliyekuwa anatukimbiza kwenye masomo darasani enzi tunasoma Mwenge Open Academy MOA, Mwalimu Adam Rashid Ngemange akitufundisha accounts, ulikuwa mkali hata tukiwa chuo IFM, ila post zako za JF zimejaa ukatuni mwingi, labda kwasababu ya nature ya kazi yako ya ushushushu.
Haya ya leo ndio madini ya viwango vyako.
Keep it up
Heci Dominic Likanga
BUJIBUJI, hapa ndio umerudi kwa BUJIBUJI ninayemjua. Yule aliyekuwa anatukimbiza kwenye masomo darasani enzi tunasoma Mwenge Open Academy MOA, Mwalimu Adam Rashid Ngemange akitufundisha accounts, ulikuwa mkali hata tukiwa chuo IFM, ila post zako za JF zimejaa ukatuni mwingi, labda kwasababu ya nature ya kazi yako ya ushushushu.
Haya ya leo ndio madini ya viwango vyako.
Keep it up
Heci Dominic Likanga
Dhamira inapimwa kwa kipimo gani? Unit MeasureMkuu sio swala la Chuki je Jamaa dhamira yake ilikuwa safi? Swala linakuja kwenye dhamira, Chiki zipo sana ukiangalia malalamiko kwa jamaa yalikuwa mengi watu wanadai pesa zao wewe hiyo unaona ni sawa?
"Adam Ngamange" wa kijani kibichi?BUJIBUJI, hapa ndio umerudi kwa BUJIBUJI ninayemjua. Yule aliyekuwa anatukimbiza kwenye masomo darasani enzi tunasoma Mwenge Open Academy MOA, Mwalimu Adam Rashid Ngemange akitufundisha accounts, ulikuwa mkali hata tukiwa chuo IFM, ila post zako za JF zimejaa ukatuni mwingi, labda kwasababu ya nature ya kazi yako ya ushushushu.
Haya ya leo ndio madini ya viwango vyako.
Keep it up
Heci Dominic Likanga
Najua wengi wanapingana na hayo maelezo ya Bujibuji ila tu hatuna muda wa kuandika. Kesi aliyofunguliwa Mr. Kuku ni kesi kabisa ya uhujumu uchumi simply kwa kuwa alikuwa anakusanya mitaji bila kuwa na kibali cha kufanya hivyo. Hamna tofauti na DECI. Ameongelea Crowd Farming lakini kwa nchi za wenzetu kuna sheria kabisa ya crowd farming na taratibu za kufuata zimewekwa ikiwa ni pamoja na kuwa na kibali toka Central Bank za nchi husika. Alichokuwa anakifanya Mr. Kuku si sahihi