Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Pole sana
Hii inaonekana ni kweli hebu ngoja tuone!!!!!!!
Ninachofahamu kutokana na uzoefu ni kwamba, net zile za misaada zina matundu makubwa, kiasi cha kupitisha mbu, ndio sababu wengi hatuzipendi. Hilo la kunguni na madhara kwa akina baba sina uhakika nalo.