Wajawazito na Net za misaada

Wajawazito na Net za misaada

Pole sana

Hii inaonekana ni kweli hebu ngoja tuone!!!!!!!

Ninachofahamu kutokana na uzoefu ni kwamba, net zile za misaada zina matundu makubwa, kiasi cha kupitisha mbu, ndio sababu wengi hatuzipendi. Hilo la kunguni na madhara kwa akina baba sina uhakika nalo.
 
Jaribu kufanya utafiti utaona tu!!!!!!!!!

Mie ninazo ila ni ndogo sijawahi kuzitumia.
Nilimpa mojo dogo alipokuwa anaenda shule nitamuuliza kama aliucheza mziki wa kunguni maana hao wadudu uwasikie kwa jirani tu!!!
 
Mie ninazo ila ni ndogo sijawahi kuzitumia.
Nilimpa mojo dogo alipokuwa anaenda shule nitamuuliza kama aliucheza mziki wa kunguni maana hao wadudu uwasikie kwa jirani tu!!!

Unipe jibu!!!!!!
 
Back
Top Bottom