Pole sana
Hii inaonekana ni kweli hebu ngoja tuone!!!!!!!
Hivi hizo net ndo zile zimekakamaa kama nyavu za kuvulia samaki?
Eeeh haya mambo ya bure hayo...Ndio hizo mkuu na zina matundu makubwa na hatufu flan hivi toka zikiwa mpya,
Jamani hapa tunaongelea net na sio ujauzito.Unaweza kuwa mjamzito bila kutumia hati punguzoumeahirisha kuchukua neti au kuwa mjamzito!
Jaribu kufanya utafiti utaona tu!!!!!!!!!
Hiyo ni picha tu!!!!!!!!!!!!!!!
Unipe jibu!!!!!!