A
🤣🤣Sogea tuzae woteHiyo mbona ni kawaida sana katika hizi hospitali za tuzae wote.
Siko hapa kutetea serikali lakini unapobeba mimba hakikisha unajiandaa vyema hasa kifedha ili hata huko tuzae wote upate japo huduma za ki vip.
Umeua kabisa, pengine ndio mimba yake ya kwanza sasaHiyo mbona ni kawaida sana katika hizi hospitali za tuzae wote.
Siko hapa kutetea serikali lakini unapobeba mimba hakikisha unajiandaa vyema hasa kifedha ili hata huko tuzae wote upate japo huduma za ki vip.
Tuzae wote nayo anailaumu.🤣🤣Sogea tuzae wote
Hapana jamani. Hiyo hali kama taifa si sawa. Tusikubali ipite hivyoHiyo mbona ni kawaida sana katika hizi hospitali za tuzae wote.
Siko hapa kutetea serikali lakini unapobeba mimba hakikisha unajiandaa vyema hasa kifedha ili hata huko tuzae wote upate japo huduma za ki vip.
Huko hakunaga cha mimba ya kwanza wala ya kumi!Umeua kabisa, pengine ndio mimba yake ya kwanza sasa
Kwa mazingira ya sasa kidogo serikali imejitahidi hiyo ya kulundikwa watu wa 4 ni uzembe wake yeye na aliyempa mimbaHapana jamani. Hiyo hali kama taifa si sawa. Tusikubali ipite hivyo
VIP ni sawa kwa anaeweza ila kwa wasiojiweza si sawa wamama 4 kitanda kimoja
Nooo!
Fedha kachukuwa Abdul kwenda kununua Rolls Royce. Unganeni na watanzania wengine kudai mabadiliko ili hawa mafisadi na wauaji wafurumushwe.Naandika ujumbe huu nikiwa mmoja wa waathirika wa hii changamoto, hapa Hospitali ya Wilaya Same, Kilimanjaro nimepewa kitanda nikiwa naendelea kusubiri muda ufike ili nijifungue, lakini cha ajabu kitanda nilichopewa kila siku wanazidi kuongezeka watu.
Namaanisha wajawazito wengine wanaongezeka, mpaka sasa tumefika watu wanne hatujui usiku itakuwaje, tutalala tumekaa na hizi mimba au lah!
JamiiForums naomba mtusaidie kupaza sauti labda tutasaidika, hii ni hospitali kubwa tu Hospitali ya Wilaya jambo kama hili ni aibu sana.
Hao wenye kalaki sio wengi kuna wengine watakosaKwani ulikua hujui mambo ya serikali,
Nakazia ukibeba mimba jitahidi beba ya mwanaume mwenye hakosi ka laki tano ka kujifungulia private
Kwamba “Tuzae wote”😁Hiyo mbona ni kawaida sana katika hizi hospitali za tuzae wote.
Siko hapa kutetea serikali lakini unapobeba mimba hakikisha unajiandaa vyema hasa kifedha ili hata huko tuzae wote upate japo huduma za ki vip.
Hiyo laki tano angeenda nayo hapo angejifungua kama mke wa rais.Kwani ulikua hujui mambo ya serikali,
Nakazia ukibeba mimba jitahidi beba ya mwanaume mwenye hakosi ka laki tano ka kujifungulia private
yeah!!! tuzae wote kwa kina mchengerwa.Kwamba “Tuzae wote”😁
Pole sana dear,Naandika ujumbe huu nikiwa mmoja wa waathirika wa hii changamoto, hapa Hospitali ya Wilaya Same, Kilimanjaro nimepewa kitanda nikiwa naendelea kusubiri muda ufike ili nijifungue, lakini cha ajabu kitanda nilichopewa kila siku wanazidi kuongezeka watu.
Namaanisha wajawazito wengine wanaongezeka, mpaka sasa tumefika watu wanne hatujui usiku itakuwaje, tutalala tumekaa na hizi mimba au lah!
JamiiForums naomba mtusaidie kupaza sauti labda tutasaidika, hii ni hospitali kubwa tu Hospitali ya Wilaya jambo kama hili ni aibu sana.
Napiga picha hiyo bond ya hao madogo wakizaliwa yani usipime it will be unbreakable.Hiyo mbona ni kawaida sana katika hizi hospitali za tuzae wote.
Siko hapa kutetea serikali lakini unapobeba mimba hakikisha unajiandaa vyema hasa kifedha ili hata huko tuzae wote upate japo huduma za ki vip.