Wew mwenyew mama yako kakuzalia nyumban, Baba yako hakuwa na pesa ya kumpeleka mama yako hospital.Kwani ulikua hujui mambo ya serikali,
Nakazia ukibeba mimba jitahidi beba ya mwanaume mwenye hakosi ka laki tano ka kujifungulia private
Hivyo unadhani kuna siku huduma zitaboreshwa kila mgonjwa awe na kitanda chake hospitalWew mwenyew mama yako kakuzalia nyumban, Baba yako hakuwa na pesa ya kumpeleka mama yako hospital.
Hiyo laki 5 wew unayo .
Watu wanadai huduma ziboreshwe,siyo kila mtu ana uwezo wa kuzalia "private hospital"
Halaf wew unaleta stori za laki 5
Hawa wanaongea utafikiri wanaishi Ulaya. Nchi ambayo wastani pato la mwananchi mwaka mzima ni 2.5m unasema eti mtu akijifungua aandae ka laki tano! Watu waliopata afueni ya maisha wana tabu sana.Wew mwenyew mama yako kakuzalia nyumban, Baba yako hakuwa na pesa ya kumpeleka mama yako hospital.
Hiyo laki 5 wew unayo .
Watu wanadai huduma ziboreshwe,siyo kila mtu ana uwezo wa kuzalia "private hospital"
Halaf wew unaleta stori za laki 5
Ni vipaumbele tu. Kwani vitanda bei gani? Zile LC300 wanazogawa bila maana yoyote unafikiri serikali inapata bure?! Badala ya kununua vifaa tiba wananunua hizo gari na magorofa Masaki.Hivyo unadhani kuna siku huduma zitaboreshwa kila mgonjwa awe na kitanda chake hospital
Noma kinoma wanataka mlaliane?tutalala tumekaa na hizi mimba au lah!
Ndio ninauliza unadhani kuna siku kutakua na vipaumbele kama hivyo??Ni vipaumbele tu. Kwani vitanda bei gani? Zile LC300 wanazogawa bila maana yoyote unafikiri serikali inapata bure?! Badala ya kununua vifaa tiba wananunua hizo gari na magorofa Masaki.
Ndio. Subiri uone baada ya hii thread kufika kunakohusika.Ndio ninauliza unadhani kuna siku kutakua na vipaumbele kama hivyo??
Kwa maoni kama hayo ya kwako, watu watazidi kuumia.Hiyo mbona ni kawaida sana katika hizi hospitali za tuzae wote.
Siko hapa kutetea serikali lakini unapobeba mimba hakikisha unajiandaa vyema hasa kifedha ili hata huko tuzae wote upate japo huduma za ki vip.
Ona thenge ili! Kwani hakuna kitanda cha kulazwa watu wanne? Nyie mtu akileta mkasa wowote mnakimbili kusema chai, ngojea siku wakuphile mande na wenzio waseme chai uku mQundu wako unaoza...Siyo chai hii kweli? Watu wanne mnakaaje kwenye size ya kitanda kimoja cha hospitali?
Ungesema wawili labda tungeamini lakini inawezekana kuna mtu anataka kuporwa cheo hapa kwa bandiko hili