KERO Wajawazito zahanati ya Mbinga wadaiwa kutozwa Tsh. 500 ya mlinzi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Putin2024

New Member
Joined
Apr 30, 2024
Posts
1
Reaction score
1
Mnamo tarehe 29 Aprili nilifika katika zahanati hiyo iliyopo Halmashauri ya Mbinga Kata ya Lusonga nikashangaa kuona wanawake wajawazito wanatozwa Tsh 500 wakidai wahudumu wa pale wakidai kwa ajili ya kumlipa mlinzi.

Kama hakitoshi Kadi ya mama mjamzito inauzwa Tsh elfu 2,000 na wakichelewa kufika kliniki wanatozwa Tsh 1,000 kama faini kwa kuchelewa.

Kwenu wadau hii ni halali?

 
Pole yao japo hatuna uhakika wa hii taarifa
 
Unataka Nini wewe
 
Unataka nini
 


Kadi ya Kliniki ya Mtoto inauzwa TSH 2,000/= Zahanati ya "Mbinga Han" iliyopo Mbinga mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…