Wajemeni Abdalla Zombe yuko wapi?

Wajemeni Abdalla Zombe yuko wapi?

ebaeban

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,205
Reaction score
2,697
Yule kamanda wa Polisi aliyeshitakiwa katika kesi ya kuwauwa wachimba madini ya rubi wa Morogoro akiitwa Abdalla Zombe yuko wapi baada ya kushinda kesi ?

Aliisha lipwa mamillioni yake? Nakumbuka aliwahi sema CHADEMA ikichukua madaraka atajinyonga, pia aliwahi kudai eti wakati yeye ni Polisi RCO dsm alikuwa anafahamu kuwa Godbless Lema Mbunge wa Arusha mjini alikuwa ni mwizi wa magari ni hapo waziri wa mambo ya ndani wakati ule Somebody Nahodha alimpiga stop kusema maneno hayo. Sasa hivi kamanda huyo yuko wapi?
 
Huenda alikuwa anasema ukweli kwani Zombe alifanya kazi sana KILIMANJARO na washikaji zake damudamu walikuwa haohao
 
Yule kamanda wa Polisi aliyeshitakiwa katika kesi ya kuwauwa wachimba madini ya rubi wa Morogoro akiitwa Abdalla Zombe yuko wapi baada ya kushinda kesi ?

Aliisha lipwa mamillioni yake? Nakumbuka aliwahi sema CHADEMA ikichukua madaraka atajinyonga, pia aliwahi kudai eti wakati yeye ni Polisi RCO dsm alikuwa anafahamu kuwa Godbless Lema Mbunge wa Arusha mjini alikuwa ni mwizi wa magari ni hapo waziri wa mambo ya ndani wakati ule Somebody Nahodha alimpiga stop kusema maneno hayo. Sasa hivi kamanda huyo yuko wapi?

Mara yako ya mwisho kuwaulizia Ndugu zako wa Ukoo uliopotezana nao miaka mingi ilikuwa ni lini kabla ya Kumuulizia Zombe?
 
Back
Top Bottom