Yule kamanda wa Polisi aliyeshitakiwa katika kesi ya kuwauwa wachimba madini ya rubi wa Morogoro akiitwa Abdalla Zombe yuko wapi baada ya kushinda kesi ?
Aliisha lipwa mamillioni yake? Nakumbuka aliwahi sema CHADEMA ikichukua madaraka atajinyonga, pia aliwahi kudai eti wakati yeye ni Polisi RCO dsm alikuwa anafahamu kuwa Godbless Lema Mbunge wa Arusha mjini alikuwa ni mwizi wa magari ni hapo waziri wa mambo ya ndani wakati ule Somebody Nahodha alimpiga stop kusema maneno hayo. Sasa hivi kamanda huyo yuko wapi?