Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

@Mbwichichi hizi code unazifahamu??

Nimefananisha na ile habari yako!
 
Kwahiyo mkuu! Hadi sasa unatafuta kifaa cha kuchimbia??? Au umeshajua hamna issue sasa unatafuta hela kwa namna nyingine?
 
BInafsi sijawahi kutamani wala kufikiria kuhusu haya mambo ya mali kale,lakini naamini na nathibitisha kabisa zipo

Babu yangu alishawahi kuniadithia sana kuhusu haya mambo maana yeye ndo alikuwa anajishughulisha na haya mambo

Na anasema enzi za ujana wake, walifanikiwa kupata mali nyingi sana na walikuwa matajiri kweli,sema walianza kufilisika taratibu baada ya kukosea miongozo flani

Kipindi ananiadithia alikua akinificha baadhi ya Siri kubwa kubwa kuhusu haya mambo,kwasababu alishanisoma ndani ya moyo wangu kuwa sina interest kabisa na hayo mambo.

Anasema kama ningeonyesha interest kidogo,basi angenifungukia siri zooote na kunirithisha rasmi nyenzo zake za kufanya izo kazi.

Anasema lengo lake kuu alitaka mimi nizitafute izo mali ili niweze kuukomboa ukoo wangu na umaskini,maana yeye alipewa iyo nafasi akaichezea...( yeye naye alifundishwa na baba ake,yaaan baba wa babu yangu)

Babu yangu alifariki 2014 akiwa na miaka 98...kuna sehemu moja uko kijijini kwetu katika mashamba yake,aliacha usia kwamba pasichimbwe ,wala kupandwa kitu chochote kile juu ya ile ardhi mpaka pale atakapotokea mteule katika ukoo wetu na atapewa ishara maalumu

Iyo sehemu katika shamba,kwa juu kuna mchanga mweupee ambao ni mkavu kipindi chote hata mvua inyeshe namna gani hapaloi

Ukoo wote unaamini pengine ilo eneo ndo sehemu alipohifadhia nyenzo zake za kufanya izo kazi za kutafuta mali za kale.
 
Umeandika nini sasa !!? Umeanza vizuri ila kumaliza ukamalizia utopolo
 
Mkuu,kwa majibu yako inaoneka una uelewa wa haya mambo tunaomba utoe shule na uzoefu wako ili kuondoa sintofahamu na dhana potofu kuhusu hizi mali

Unaweza kuanzisha Uzi wako au hata hapahapa ili tupate kuuliza maswali ya ufahamu
 
Changamoto hapa,watu wanaodhaniwa wanauelewa,uzoefu wa habari hizi hawapo tayari kuelezea kwa kina,Mimi no zaidi ya Juma moja lililopita,nilishauri kama ulivyoshauri hapa.
 
Changamoto hapa,watu wanaodhaniwa wanauelewa,uzoefu wa habari hizi hawapo tayari kuelezea kwa kina,Mimi no zaidi ya Juma moja lililopita,nilishauri kama ulivyoshauri hapa.
Hilo ndio tatizo,hawa wenye uelewa wafunguke ukweli wote kuhusu habari nzima ili watu wapate elimu,huenda ikasaidia watu kuacha kukurupuka na kuishia kutapeliwa au kufanya utafutaji bila kujua taratibu zake
 
Changamoto hapa,watu wanaodhaniwa wanauelewa,uzoefu wa habari hizi hawapo tayari kuelezea kwa kina,Mimi no zaidi ya Juma moja lililopita,nilishauri kama ulivyoshauri hapa.
hapana siyo kwamba watu hawapo tayari ila unajua na majukumu mengine lazima yaende na kipindi chance ipatikanapo kuingia huku basi unajibu kwa kadiri uwezavyo na kwa uelea huo huo mchanga uliopo kujaribu kusaidia mwingine na mwingine na yote nikusaidia ili wengine waisiende kichwa kichwa na kuingia kwene utapeli na kuzidi kuharibu sifa ya hazina hizi.
 
iliyopo hapo Mzee wako alikuwa anashindwa kukwambia kuwa Mahali hapo palikuwa na hizi mali lakini wao na ukoo wao walitumia kwa matambiko iwe kwa wazi au kwa siri na kama ukishaanza kufanya matambiko basi zina anza kuwa control kwa namna yake.... kwa ufupi tu ni hivyo
 
Kama kina kinjeketile, mkwawa , milambo etc wangepata hata elimu ya kuandika, may be wangetuandikia vitabu vya siri ili kuturahisishia kazi zama hizi
 
Ma
Huyu jamaa alikuwa na extra power gani mkuu?na kwanini watumie power yake kwenye hivi vitu?
kuna maombi aliyofanya kwa ajili ya kupata zile items na ukumbuke vile vitu havikutengenezwa na mwanadamu awaye yote.
 
Mkuu,kwa majibu yako inaoneka una uelewa wa haya mambo tunaomba utoe shule na uzoefu wako ili kuondoa sintofahamu na dhana potofu kuhusu hizi mali

Unaweza kuanzisha Uzi wako au hata hapahapa ili tupate kuuliza maswali ya ufahamu
Mkuu swala la Mali kale ya Mjerumani lina elimu pana sana sana sana zaid na huwezi anzisha thread tu lakini uonapo mwenzio amezungumza ambacho unajua na unaona ameenda wrong basi unaanzia pale kumuweka sawa hata kwa kielimu kidogo mtu ulichonacho🙂
 
Natafta share...... Na awe mtaalamu wa kusoma code.... Kuna eneo lina Mali, serious tu ndio anitafte
unatafuta share!, kwavipi?
awemtaalamu wa kusoma Code?
Jaribu kuelezea ulichonacho na inaweza pelekea ukapata wa kukusaidia.
 
Masoko ya kuuza hizo bidhaa yap

Masoko ya kuuza hizo bidhaa yapo wapi?
Tuanzie hapo zile siyo bidhaa na ile siyo Biashara bali kwa kanuni na sheria zake na malipo ya pesa yake wanaita ni sadaka kwa maana moja hakuna mtu afanyae biashara na Mfalme bali Mfalme huwa anatoa sadaka yake kwa watu......
CAESAR WILHELM II alikuwa ndiye Mfalme wa mwisho Ujerumani na Vyombo vyote vitafutwavyo vina alama ya sura yake sasa ukipeleka kwa waliokula kiapo cha kuwa wakusanyaji wa zile item basi wanakupa kiasi ambacho ile familia imepanga kwa kushukuru vile vyombo kurudishwa kwenye ufalme wao.
Kuhusu wachukuaji wapo na Mmoja ndiye sahihi na Yupo vizuri zaidi.
 
Ma

kuna maombi aliyofanya kwa ajili ya kupata zile items na ukumbuke vile vitu havikutengenezwa na mwanadamu awaye yote.
Mkuu hivyo vitu havikutengenezwa na mwanadamu kivipi?? Yani vilitokea wapi sasa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…