Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

Kubatua maana yake nini?
In short Utaperi mkubwa unasikia mtu anasema sitaki kusikia habari hizo coz alishapoteza millions kadhaa.... Ni kuhusu Kubetua...

99% Kubetua ni Utaperi!

Kama upo ndani ya deal Hafu unaambiwa maswala ya Kubetua.... KIMBIAAAAA.

Wapo really buyers out there, na hawana hizo mambo za Kubetua, hawana story mingi, wanapima mzigo wakiridhika wanatoa Pesa Cash, unaenda kufa mbele na mzigo wako.
 
Ha ha poa aisee
 
Tatizo connection ya kupata buyer asie na maswala mengi ni tatizo kubwa sana katika malikale
 
Kimange napafahamu.. ni sehem gani hasa? Pongwe au..
 
Wapo.... Lazima uchukue muda kutafuta Connection...
Ni ngumu kukutana na buyer kama Huna kitu mkononi.
Nilishakua nacho na ikashindikana kwa ajili ya ubabaishaji vitu vipo ni mimi kwenda kuchukua lakini kwa nilivyoona nilipojaribu kutafuta buyer kwa chombo husika usanii na kutaka kuingizana mjinj ndio maana nimefanya kama nimesahau kwa muda sasa kuhangaika na hivyo vitu,wazo langu litaamia kwenye madini tu nikijua utaratibu wa serikali uko vipi na ntanufaika basi.
 
Hii biashara imewafirisi watu na kuwa maskini wa kutupwa. Na sijamwona mtu aliyetajirika kwa biashara ya vitu vya kijerumani.

Mwisho ! Kwa nini ni sharti ushiriki katika ushirikina ?
 
Hii biashara imewafirisi watu na kuwa maskini wa kutupwa. Na sijamwona mtu aliyetajirika kwa biashara ya vitu vya kijerumani.

Mwisho ! Kwa nini ni sharti ushiriki katika ushirikina ?
hakuna shart la kushiriki kwenye ushirikina ila ukikutana na tapeli ndiyo utaingia huko
 
ulikosa kwa kuwa hawakuwa na vibali vya kufanya hayo mambo na lazima walijificha na ukiangalia nilikwambia ni mmoja tu mwenye uwakala wa kulipa haya maswala ya mali kale Tz na yupo DSM peke
 
ulikosa kwa kuwa hawakuwa na vibali vya kufanya hayo mambo na lazima walijificha na ukiangalia nilikwambia ni mmoja tu mwenye uwakala wa kulipa haya maswala ya mali kale Tz na yupo DSM peke
Mlipaji ni mmoja tu kwa Tz nzima
 
Pole Mkuu!
Buyers wazuri ni wa Israel, na Sasa kutokana na Changamoto ya Utaperi, baadhi wapo tayari kukufata pale ulipo na kufanya Biashara huko huko, Ila wanapendekeza angalau uwe na Vitu 2 au 3.

Pia huwa interesting kukufata ulipo kama wakijua May be Serikali ya Kijiji inahusika pia kwenye hivyo Vitu n. K

Believe me, really buyers wapo!
 
ulikosa kwa kuwa hawakuwa na vibali vya kufanya hayo mambo na lazima walijificha na ukiangalia nilikwambia ni mmoja tu mwenye uwakala wa kulipa haya maswala ya mali kale Tz na yupo DSM peke
Unazungumzia Cawovico?
 
Mimi nna site kamili ina vitu vingi kuwa na viwili ama vitatu si tatizo,tatizo utapeli na tamaa sana kwa walio wengi nilishaonywa kwa watu wengi kuwa hawana nia nzuri mwisho imenikatisha pia tamaa nikatulia na kuendelea na ishu nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…