Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

Sawa nimeamini kuwa Buguruni kuna chatu mtu....
 

Kijijini kwetu kulikuwa na kaburi kubwa la mjerumani. Na watu waliamini kuwa alizikwa na pesa. Vijana wakajitolea usiku kwenda kulifukua. Hawakukuta kitu. Na aliyeingia shimoni alifunikwa na concrete na kushindwa kutoka. Jua lilipoanza kutoka, wenzake wakaingia mitini na kumuacha jamaa ndani ya pango la kaburi. Walirudi kumtoa usiku uliofuatia.
 
Pango la Kaburi??!!
 
Tomb Raiders yanawakutaga makubwa
 
Hella ya mjerumani ilitengwnwzwa kwa shaba,uzito wake hauzidi gm5 haiwwzi kuwa $1000.sio kweli kwamba zinadhamani saaaana no ni kwamba wakificha na madhahabu na silaha zao,

Hawakuficha tu walizindika pia na babu zetu walikua sehemu ya zindiko.sio kitu rahisi kupata.
 
Shaba ni copper, Fedha ni silver.
zinadhamani = zinathamani.
 
....Nimepata kujiuliza na kuulia Mara kadhaa na bado sijaweza kupata jibu LA uhakika:
Wajerumani no miongoni mwa mataifa yaliyoitawala Tanganyika, kwa maana hiyo katika kipindi cha utawala wao walikuwa guru bin free kubeba chochote walichokitaka na kukirejesha Kwao!
Sasa hii hazina tunayolazimishwa kuamini kwa wameificha hapa nchini, ilikuwaje, na kilichowalazimisha waifiche hapa Tanganyika badala ya kuirejesha kwao kwa sababu ya kufanya hivyo walikuwa NATO, in nini???[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
sio.ni hiv.wkakat mjeleman anapigana vita ya kwanza ya dunia.alikua anaelekea kushindwa.sasa katika ile haraka haraka na vita imeshakua kal nasikia hakupata muda wa kubeba makasha ya mali.sasa bas kilichofanyika kwa mujibu wa jamaa mmoja nilimsikia anasema walijuwa wazungu wanaenda na wapagaz yaan bwana jereman akiwa na osikarri(askar) na wapagaz wanabeba yale masanduku wakishayazika ghafla osikar anamiminia resas zile pagaz zote baada ya ya happo anatabanninna( enchating some magical words) fulan ya maneno wanafukia vizur, na wale wapagaz ndio wanakua kaffarat fi hadha madyan.huo udong unageuka zege sio la nchii hii.mtakuja kupiga sururu na sururu wap.ngoma chumachuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo conspiracy theory? Mbona serikali isitumie TISS kuzisaka tukanunua madawati shuleni?
 
Yani haraka haraka b za kuficha mali na kuondoka nazo ipi gharama na time consuming zaidi?

Tusipepese macho story za mali ya mjerumani ni story tu.
 
Siyo conspiracy theory? Mbona serikali isitumie TISS kuzisaka tukanunua madawati shuleni?
Halafu kumbe sio bongo tu hizi theories zipo kila sehemu palipotawaliwa na mkoloni just imagine hata USA hizi story zipo na watu wanakesha kuzitafuta mali za muingereza ndo ujiulize marekani walivyoendelea hivyo mpaka leo hawajazipata tu?
 
Ategemeae kutajirika kwa mali za mjerumani amelaniwa na Mungu, hizi story zipo sana ukifatilia watafutaji wengi wanasema walishia kutapeliwa, au kuvipata na kukosa soko.

Kuna mmoja ameelezea vizuri pasi ilivyo najiuliza yeye aliiona wapi ? Wakati ukimwambia atume picha au wenye picha hazipo wanasema havipigiki picha wala video.

Ukitaka ufe maskini na fukara endekeza huu ujinga mara 100 ukabeti hata timu 50 or 90 kwa buku unaweza pata bahat ukashinda 2.5Billion
 
Kuna watu wanakusanya historical coins...hapo ndio thamani yake hipo kwa sababu ni chache na zina historia
 
Unajua idadi ya wajerumani haikuwa kubwa sana. Ni chini ya elfu 20. Kama ni kweli walificha mali basi ni wachache sana...Pili wajerumani wengi waliokuja kuishi walibaki na kuendelea na shughuli zao....
 

Siyo conspiracy theory? Mbona serikali isitumie TISS kuzisaka tukanunua madawati shuleni?
Hao TISS wanaelimu ya hivyo vitu?
 
kapige picha umeme halafu tutumie hapa mkuu....maana unajua upo na vigezo na kazi zake zote.halafu na mimi nitakupigia picha za Mali ya mjerumani halisi siyo fake.
 
kapige picha umeme halafu tutumie hapa mkuu....maana unajua upo na vigezo na kazi zake zote.halafu na mimi nitakupigia picha za Mali ya mjerumani halisi siyo fake.
Kumbe umeme ni kitu. Kwahiyo hizo pasi hazionekani ni kama umeme au ugonjwa unaziuzaje sasa. Kama kitu kinashikika na kina uzito kisha mtu anadai anacho si aweke picha.
 
Kumbe umeme ni kitu. Kwahiyo hizo pasi hazionekani ni kama umeme au ugonjwa unaziuzaje sasa. Kama kitu kinashikika na kina uzito kisha mtu anadai anacho si aweke picha.
bado nasema si lazima kuaminisha wengine kuwa hivi vitu vipo ila waliokutana navyo wanaelewa...na ulichotakiwa kuuliza ni kwanini havionekani kwenye hizo simu / Camera angalau ungesaidiwa jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…