Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,478
Sawa nimeamini kuwa Buguruni kuna chatu mtu....Mkuu nilisha andika kuwa ni hatari kuandika majina ya watu Humu...watakuwa na haki ya Kushitaki na nihatari kumuexpose Mtu kwa swala la Pesa nyingi Zakumi...lakini kama hauamini katika haya basi endelea na unachokiamini...ila wenye kuelewa wanaelewa.na sipo katika kulazimaisha Uamini haya.