Wajerumani Walificha Mali Nyingi Kwenye Ardhi ya Tanzania

Halafu kumbe sio bongo tu hizi theories zipo kila sehemu palipotawaliwa na mkoloni just imagine hata USA hizi story zipo na watu wanakesha kuzitafuta mali za muingereza ndo ujiulize marekani walivyoendelea hivyo mpaka leo hawajazipata tu?
Hizo za Marekani huwa ni mali za maharamia wa miaka ile waliokuwa wanateka meli za Hispania zenye dhahabu na shaba kisha wanaficha mzigo visiwa mbalimbali. Hawakutumia uchawi wowote ila walikuwa wanageukana wanauana, wanaugua kama kichocho wanakufa wote, wanapata dhoruba meli zinavunjika, wanasahau walikoweka na mengine.

Hizo stories zipo na mali zilipatikana nyingine. Wale wanaotafuta ni wanasayansi na wanajua history yake na ramani. Sio huku mtu anadai babu yake alimwambia sijui akampa na dawa, yeye babu hakutaka utajiri?
 
Hakuna chuo wala taasisi duniani inayofundisha juu ya habari /Mali hizi, ni Mpaka wenye vyao wakupende na kukupa elimu sahihi ...na hapo ndiyo maana wenye ufahamu wa haya ni wachache sana ila waliokurupuka wanalia mpaka kesho.
 
Yap hizo za Maharamia ni sawa na zipo zilizopatikana China kisiwa ..... Silaha za Gold tu...Underground
 
Kumbe umeme ni kitu. Kwahiyo hizo pasi hazionekani ni kama umeme unaziuzaje sasa. Kama kitu kinashikika na k anacho si aweke picha.
Kuna kijiji walitokea tembo wawili...mkubwa na mtoto...nilipo jaribu kuwapiga picha ilishindikana...picha ilikua inaonesha ukungu..
 
Hakuna chuo wala taasisi duniani inayofundisha juu ya habari /Mali hizi, ni Mpaka wenye vyao wakupende na kukupa elimu sahihi ...na hapo ndiyo maana wenye ufahamu wa haya ni wachache sana ila waliokurupuka wanalia mpaka kesho.
Nafanyaje 'wanipende'?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe umeme ni kitu. Kwahiyo hizo pasi hazionekani ni kama umeme au ugonjwa unaziuzaje sasa. Kama kitu kinashikika na kina uzito kisha mtu anadai anacho si aweke picha.
unafahamu kilichomo ndani lipelekeacho zisionekane??
itafute ukiipata itikise uje na Majibu hapa.umesikia nini ndani yake....
 
Wakati Vita vya pili vikiendelea,wajerumani walishaona mambo ni magumu,na walikuwepo Tanganyika yote,hawakutaka Mali wakizokusanya wakati wa utawala wao wachukue waingeeza.

Walichokifanya ni kuzindika shehena kubwa kubwa ardhini na formula walitoa mababu zetu,wao wakaandika,walipomaliza kuzindika na babu zetu walikua ndio zindiko.

Hivyo fomula wanayo wao tushahangaika Sana ndio tukapata ukweli,na sio Heller zilizofukiwa,ni dhahabu ndio walizokua wanachimba.

Kuna sehemu inaitwa mpepo,mbinga, Ruvuma Kuna Bibi alituekeza wakati wa mjerumani yeye alikua mwali,baba na babu yake walikua wanatoa udongo mtini na kupeleka juu Mlimani kwa ujenzi wa kanisa.

Usiku kucha ni makelele Toka eneo la ujenIAsubuhi wakiamka wanashangaa kuona maji ya udongo yanatiririka kumbe walikua qanasafisha dhahabu na mchanga unaobaki ndio wanajengea.

Sent from my Lenovo K10a40 using JamiiForums mobile app
 
Baadaye wakazifukia dhahabu zote. Na sasa tuzitafute.
 
Baadaye wakazifukia dhahabu zote. Na sasa tuzitafute.
zakumi acha ubishi hakuna mjerumani aliyeondoka na Mali yake hata pin wakati wa vita, na njia rahisi kwao waliona ni kuzihifadhi hapa kwa tamaduni zao na kuwa watarudi kufuatilia vyao lakini agano kuu ilikuwa ni baada ya miaka 100 mbele kwa yeyote atakaye weza kutoa na atoe kwakuwa bado atapeleka kwao na kupata chochote.mnapo dhihaki na kusema wamefukia siyo kufukia kwa hivyo unavyofukia takataka nyumbani hizo underground ni vyumba kabisa vimetengenezwa ..
 

sasa mkuu, toka mjerumani aondoke si imepita miaka 100
 
mali zipo tena nyingi natafuta muda nizifutilie as a treasure tourist na sio kwamba nitakuwa busy na kazi hii
 

Ndio watarudi kuzichukua. Kwa utamaduni wa kijerumani, wanaishi zaidi ya miaka 100 na watakumbuka walipoficha.
 
Wako jogoo au mbezi sehemu gani na kina nani
 
sasa mkuu, toka mjerumani aondoke si imepita miaka 100
Kabisa na kama ulifuatilia tangu mwanzo wa uzi sehemu zote nilizoandika maelezo yangu utanielewa kuwa siyo kuchukua tu lazima ujue na Formula ukiweza zinakuwa free kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…