T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Hizo za Marekani huwa ni mali za maharamia wa miaka ile waliokuwa wanateka meli za Hispania zenye dhahabu na shaba kisha wanaficha mzigo visiwa mbalimbali. Hawakutumia uchawi wowote ila walikuwa wanageukana wanauana, wanaugua kama kichocho wanakufa wote, wanapata dhoruba meli zinavunjika, wanasahau walikoweka na mengine.Halafu kumbe sio bongo tu hizi theories zipo kila sehemu palipotawaliwa na mkoloni just imagine hata USA hizi story zipo na watu wanakesha kuzitafuta mali za muingereza ndo ujiulize marekani walivyoendelea hivyo mpaka leo hawajazipata tu?
Hizo stories zipo na mali zilipatikana nyingine. Wale wanaotafuta ni wanasayansi na wanajua history yake na ramani. Sio huku mtu anadai babu yake alimwambia sijui akampa na dawa, yeye babu hakutaka utajiri?