JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
1. Jeshi la Polisi
2. Vyama vya Siasa
3. Wananchi
4. Msimamizi wa Uchaguzi
Chanzo: TAMISEMI 2024
Kulinda Mikutano ya Kampeni,
Raia na Mali zao
Kusimamia Ratiba ya Mikutano.
2. Vyama vya Siasa
-Kuzingatia Sheria Kanuni, Miongozo na Ratiba ya Uchaguzi.
Kuepuka Rushwa, Lugha za Matusi na Kashfa
Kutobagua kwa Jinsia, Ulemavu, Dini, Rangi, Kabila, Itikadi n.k.
3. Wananchi
-Kutii Sheria, Kanuni na Miongozi ya Uchaguzi
Kuepuka Rushwa na Uvunjifu wa Amani
Kuhoji Maswali endapo hawajaelewa.
4. Msimamizi wa Uchaguzi
Kuitisha Kikao na Vyama vinavyoshiriki Uchaguzi
Kujadili maombi ya Mabadiliko ya Ratiba.
Kuwasilisha Ratiba za Mikutano zilizokubaliwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi wa Wilaya ili kutoa Ulinzi
Chanzo: TAMISEMI 2024