LGE2024 Wajibu wa Wadau wa Uchaguzi wakati wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
1. Jeshi la Polisi

Kulinda Mikutano ya Kampeni,
Raia na Mali zao
Kusimamia Ratiba ya Mikutano.

2. Vyama vya Siasa

Kuzingatia Sheria Kanuni, Miongozo na Ratiba ya Uchaguzi.
Kuepuka Rushwa, Lugha za Matusi na Kashfa
Kutobagua kwa Jinsia, Ulemavu, Dini, Rangi, Kabila, Itikadi n.k.
-
3. Wananchi

Kutii Sheria, Kanuni na Miongozi ya Uchaguzi
Kuepuka Rushwa na Uvunjifu wa Amani
Kuhoji Maswali endapo hawajaelewa.
-
4. Msimamizi wa Uchaguzi

Kuitisha Kikao na Vyama vinavyoshiriki Uchaguzi
Kujadili maombi ya Mabadiliko ya Ratiba.
Kuwasilisha Ratiba za Mikutano zilizokubaliwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi wa Wilaya ili kutoa Ulinzi

Chanzo: TAMISEMI 2024
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…