Wajinga ndio waliwao ukinunua jezi ili uingie bure mechi ya Yanga vs Medeama ni sawa na ujuha

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Jezi moja inauzwa elfu 35, kiingilio mzunguko ni efu 5 tu, we unawaambia washabiki sharti la kuingia bure ni kwenda kununua jezi, wakati hiyo efu 35 unayomshawishi shabiki akanunue jezi anaweza kwenda Taifa akatoa efu 5 akaingia, inabakia shs 30,000, anakula efu 5 inabakia efu 25, anaamka nayo vzr tu, hebu tuondolee ulofa wako.

Jezi hatununui na uwanjani tutaenda kutia ubani shughuli yenu iishe hapo hapo.
 
Huna akili.
 
viongozi wa yanga akili mingi...mnataka kiingilio chepesi cha 5000 ili nanyi mkaingie kuvunga viti tusemwe sie,maanina.
 
Jezi moja inauzwa elfu 35, kiingilio mzunguko ni efu 5 tu, we unawaambia washabiki sharti la kuingia bure ni kwenda kununua jezi, wakati hiyo efu 35 unayomshawishi shabiki akanunue jezi anaweza kwenda Taifa akatoa efu 5 akaingia, inabakia shs 30,000, anakula efu 5 inabakia efu 25, anaamka nayo vzr tu, hebu tuondolee ulofa wako.

Jezi hatununui na uwanjani tutaenda kutia ubani shughuli yenu iishe hapo hapo.
Uko dunia ya wapi ndugu!! Mashabiki wanatakiwa kwenda na jezi OG tu za Yanga!! Na mashabiki wengi tayari walishanunua hizo jezi muda mrefu uliopita.

Ni mashabiki wachache pekee ndiyo watanunua siku ya mechi. Hivyo jitahidi kuficha umbumbumbu wako hata kama wewe ni Kijana wa Rage.
 
Wamesema jezi original.. hawajasema za msimu gani ?

Kama una jezi original ya msimu uliopita inaruhusiwa
 
Jezi moja inauzwa elfu 35, kiingilio mzunguko ni efu 5 tu, we unawaambia washabiki sharti la kuingia bure ni kwenda kununua jezi, wakati hiyo efu 35 unayomshawishi shabiki akanunue jezi anaweza kwenda Taifa akatoa efu 5 akaingia, inabakia shs 30,000, anakula efu 5 inabakia efu 25, anaamka nayo vzr tu, hebu tuondolee ulofa wako.

Jezi hatununui na uwanjani tutaenda kutia ubani shughuli yenu iishe hapo hapo.
Jezi nitaivaa siyo siku moja tu
 
Amekusikia Mkuu, tegemea lolote toka kwake kuanzia sasa.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Mimi ni simba ila napenda sana kuingia mechi za Yanga hususan Kwa mkapa coz napata burudan ya mpira, ntatoa hiyo buku tano ila sio kuvaa jezi
 
Jezi moja inauzwa elfu 35, kiingilio mzunguko ni efu 5 tu, we unawaambia washabiki sharti la kuingia bure ni kwenda kununua jezi, wakati hiyo efu 35 unayomshawishi shabiki akanunue jezi anaweza kwenda Taifa akatoa efu 5 akaingia, inabakia shs 30,000, anakula efu 5 inabakia efu 25, anaamka nayo vzr tu, hebu tuondolee ulofa wako.

Jezi hatununui na uwanjani tutaenda kutia ubani shughuli yenu iishe hapo hapo.
Mkiitwa Makolo mnakasirika, Ali Kamwe kasema jezi ya msimu wowote ule. Wewe unakuja hapa na upotoshaji. Hesabu za familia za watu, kama huna uwezo wa kununua jezi ya Tsh 35,000/= bora tu ukae kimya.
 
Jezi moja inauzwa elfu 35, kiingilio mzunguko ni efu 5 tu, we unawaambia washabiki sharti la kuingia bure ni kwenda kununua jezi, wakati hiyo efu 35 unayomshawishi shabiki akanunue jezi anaweza kwenda Taifa akatoa efu 5 akaingia, inabakia shs 30,000, anakula efu 5 inabakia efu 25, anaamka nayo vzr tu, hebu tuondolee ulofa wako.

Jezi hatununui na uwanjani tutaenda kutia ubani shughuli yenu iishe hapo hapo.
Tatizo Lenu mbumbumbu mnaonyeshaga ujinga wenu hadharani bila aibu, kitendo Cha mangungungu kuwaletea manzoki kwenye uchaguzi na mkapiga makofi niliona kabisa akili zenu ni za kuvukia Barabara, akuna sehemu uliyoambiwa ukanunue jezi mpya ya yanga, umeambiwa uwe na jezi ya yanga aijalishi ni ya mwaka Gani kwa maana iyo mashabiki wengi wanazo jezi zao za Yanga walishanunua kitambo aina tofauti tofauti usitake kupotosha watu na akili zenu za kipuuzi puuzi hapa!
 
Back
Top Bottom