Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Jezi moja inauzwa elfu 35, kiingilio mzunguko ni efu 5 tu, we unawaambia washabiki sharti la kuingia bure ni kwenda kununua jezi, wakati hiyo efu 35 unayomshawishi shabiki akanunue jezi anaweza kwenda Taifa akatoa efu 5 akaingia, inabakia shs 30,000, anakula efu 5 inabakia efu 25, anaamka nayo vzr tu, hebu tuondolee ulofa wako.
Jezi hatununui na uwanjani tutaenda kutia ubani shughuli yenu iishe hapo hapo.
Jezi hatununui na uwanjani tutaenda kutia ubani shughuli yenu iishe hapo hapo.