Ni vigumu kuelewa ukweli pale akili zinapokuwa zimefungwa kwenye nguvu ya itikadi. Moja ya kazi kubwa ya itakadi ni kupofusha ufahamu wa mwanadamu. Yesu alipokuja kuwakomboa wanadamu kutoka kwenye utumwa wa Shetani, mafarisayo, Masadukayo na miongozi wa dini walimtungia hila nyingi na kumpa majina mbalimbali. Kuna waliomuita mpotoshaji, wengine walimuita mchochezi na msaliti wa dola ya kirumi hata kumshitaki kwa Pilato aliyekuwa kiongozi wa Kirumi kuwa Yesu anawachochea watu wasilipe kodi kwa kaisari na kuwaambia watu wasitii Sheria za Kirumi.
Tunaona sasa jinsi watu wengi walivyoshibishwa ujinga huo wa kumuita huyo aliyekuwa anawatetea wananchi wasionewe wala kunyanyaswa na sheria kandamizi za migodi ya madini zilizotungwa na serikali, hadi akawekwa ndani, leo wajinga wanamuita kibaraka wa mabeberu, eti anasaidia mabeberu kuiba madini yetu.
Hao wamesahau kwamba hakuna mtu aliyetetea madini yetu kama yeye na mwalimu Nyerere. Ni aibu kwa mtu mwenye akili timamu kufikiria kuwa jamaa ni kibara wakati ndio mtetezi wa mali za nchi. Roho ya ushetani imewaingia watu kama ilivyowaingia mafarisayo ya kumchukia Yesu aliyekuwa mkombozi wa wanadamu, na kusababisha wengi kuingiwa na roho hiyo ya Shetani kumchukia Yesu. Huyu mnayemuita kibara wa mabeberu hajawai kuingiza taifa hasara yoyote kama yule mzalendo mnayemjua.